Boss siwezi nikaongea mengi sana lkn cha msingi ni kwamba huwezi ukawa infant trader afu ndani ya siku 1 ukajua kila kitu. Yani kuna details nyingi siwezi kuzitoa kuepusha watu wanao kurupuka.
Ukitaka kujua ulivyo na pupa rudi kwenye post yangu, utaona nimeweka hata visa card ya broker wng, sasa sijui unaongea nini kwamba naficha information. Ungekua japo uko smart wala usingelalamika kua natumia platform gani kutrade.
Afu katika vitu ambavyo nimekushangaa ni kua unataka nikwambia kiasi nikichovuna. Boss! Hatujisifii pesa ama utajiri, ni mtu aliyebahatisha kua na pesa ndio utaona anatangaza utajiri wake, tunakua proud kwa knowledge tuliyonayo si pesa boss. Am not here to sell dreams my boss, am here to transform knowledge into wealth. Ukiona mtu anasujudia pesa jua hana knowledge.