Black Idea
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 124
- 148
Bavaria unapatkanaje?!Umeshaanza kutrade? Au hujui kitu kabisa?
Sipo vizuri kwenye mambo ya whattsap mkuu. Nikisema nianzishe group sitaweza kupata muda wa kufanya hivyo.
Mwenyewe nipo DSM mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bavaria unapatkanaje?!Umeshaanza kutrade? Au hujui kitu kabisa?
Sipo vizuri kwenye mambo ya whattsap mkuu. Nikisema nianzishe group sitaweza kupata muda wa kufanya hivyo.
Mwenyewe nipo DSM mkuu..
Just to mind you, it's not a get-money-quick program.. You have to highly invest on knowledge acquisition first. Also you need to separate your emotions and money during training, that's deathly important.Yeah mkuu tutajiunga wengi tu tupige hela
Swali kwako mkuu, hii ac inaweza kuwa kwa tsh au $?What i suggest is to open a new bank account separate from your ordinary bank account specifically for this purpose. Whenever your forex earnings are sent to this new account..you can immediately transfer those funds to your ordinary account. That way the local account linked to your forex trading account is always empty...meaning there is nothing to steal.
Another lessonNaamini hauna uelewa wa nini unafanya mkuu. No disrespect!!
Nieleze maana ya 'leverage' kwenye forex.
Kama unamuongelea Sandile Shezi umekosea. Sio huyo. Majina yanafanana.
Yeye anaitwa Sendile Mantsoe.sio huyo Sandile mkuu....au unafikiri ni Sandile tu alietajirika kwa FOREX TRADE? South Africa wapo wengi tu wametajirika kwa hii biashara.....nimemsahau jina dogo yuko jela sasa hivi kwa kumuua mpenzi wake
Punguza kupenda hela mwamke wewe!Nimekisoma kitabu chapter moja tu na kupitia videos utube nk, nikagundua kuwa hii kitu haihitaji mihemko aisee!! It needs time,alot of time to learn na uwe smart.
Msikurupuke jamani, jipeni muda wa kutosha kuielewa hii kitu.
Good news ni kuwa inawezekana ukiwa na nia ya dhati.
Punguza kupenda hela mwamke wewe!Nimekisoma kitabu chapter moja tu na kupitia videos utube nk, nikagundua kuwa hii kitu haihitaji mihemko aisee!! It needs time,alot of time to learn na uwe smart.
Msikurupuke jamani, jipeni muda wa kutosha kuielewa hii kitu.
Good news ni kuwa inawezekana ukiwa na nia ya dhati.
Nimeshamjibu tayari.Yeye anaitwa Sendile Mantsoe.
Yote Tsh au $ ni sawa. Ila naona bora ufungue ya $. Maana kama ni ya tsh..transfer ikija inakuja kwa $...then kwakua account ni ya tsh benki itabidi ichange hizo $ kwa rate yao. Ila kama account yako ni ya $ zitaingia hivyo hivyo. Then wewe kama unahitaji madafu unaweza tafuta bureau de change yenye rate nzuri ukachangeSwali kwako mkuu, hii ac inaweza kuwa kwa tsh au $?
Kama muda wa kwenda Training hauna wa kufanya Trading tena kwa kutulia utaupata kweli?Nataka nianze kudig in and out ya hii kitu, uzuri kuna list ya vitabu imetolewa basi nitakomaa na kimoja au viwili.
Poa mkuu ONTARIO kwenye training utakazoanza jaribu kuangalia muda mzuri wa kufanya maana kuna wafanyakazi na wengine wenye shughuli zao (yaani muda ambao hautawaathiri waajiriwa na wengine kama hao). By the way ni wazo zuri, wengine hatukua tu na starting point, nao imepatikana.
Mjomba, katika baishara yeyote kuna kitu kinaitwa SWOT Analysis ikiwa na maana ya Strength, Weakness, Opportunity na Threat. Kwahiyo, husiangalie opportunity tu bali lazima uangalie hivyo vingine vitatu au utakwenda alijojo!Mkuu tunasubir go ahead tu ..huna haja y kujibu wasiojua nin maana y opportunity
Mkuu nitakupataje?Ngoja tuendelee kula matunda ya forex[emoji39][emoji39][emoji39]![]()
Kuna sehemu hapo nimesema sina muda mkuu?Kama muda wa kwenda Training hauna wa kufanya Trading tena kwa kutulia utaupata kweli?