Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Yeah mkuu tutajiunga wengi tu tupige hela
Just to mind you, it's not a get-money-quick program.. You have to highly invest on knowledge acquisition first. Also you need to separate your emotions and money during training, that's deathly important.

[HASHTAG]#striveforfinancialfreedom[/HASHTAG]
[HASHTAG]#striveforsuccess[/HASHTAG]
 
Samahani mkuu Ontario nnaweza vipi,watafautisha waha Broker maana nimepita nimepata Application kweny Android za FXCM na XM sasa sijui hawa wanaangukia Wapi kati ya Hili kundi la Ma-Dalali wazuri na wale wa Hatari..
 
What i suggest is to open a new bank account separate from your ordinary bank account specifically for this purpose. Whenever your forex earnings are sent to this new account..you can immediately transfer those funds to your ordinary account. That way the local account linked to your forex trading account is always empty...meaning there is nothing to steal.
Swali kwako mkuu, hii ac inaweza kuwa kwa tsh au $?
 
Nimekisoma kitabu chapter moja tu na kupitia videos utube nk, nikagundua kuwa hii kitu haihitaji mihemko aisee!! It needs time,alot of time to learn na uwe smart.
Msikurupuke jamani, jipeni muda wa kutosha kuielewa hii kitu.
Good news ni kuwa inawezekana ukiwa na nia ya dhati.
Punguza kupenda hela mwamke wewe!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekisoma kitabu chapter moja tu na kupitia videos utube nk, nikagundua kuwa hii kitu haihitaji mihemko aisee!! It needs time,alot of time to learn na uwe smart.
Msikurupuke jamani, jipeni muda wa kutosha kuielewa hii kitu.
Good news ni kuwa inawezekana ukiwa na nia ya dhati.
Punguza kupenda hela mwamke wewe!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali kwako mkuu, hii ac inaweza kuwa kwa tsh au $?
Yote Tsh au $ ni sawa. Ila naona bora ufungue ya $. Maana kama ni ya tsh..transfer ikija inakuja kwa $...then kwakua account ni ya tsh benki itabidi ichange hizo $ kwa rate yao. Ila kama account yako ni ya $ zitaingia hivyo hivyo. Then wewe kama unahitaji madafu unaweza tafuta bureau de change yenye rate nzuri ukachange
 
Mkuu nakushukuru sana kwa
elimu uliyoitoa.kama hautojali
naomba contacts(namba ya simu)kwaajili ya kupata elimu
zaidi.Maana ww unajua
vitabu vinapopatikana.Mimi
ni Mwalimu wa shule ya
msingi.ningependa nitoke
kwenye umasikini. Ninaomba
sana niwe mmoja wa
mabalozi wako mkoani
Simiyi Wilaya ya Maswa.e-mail
yangu:makulajulius4@gmail.com.Ni matumaini yangu utanijibu
 
Wengine tunafanya hii ya crypto currency amabayo haiitaji kuwa na broker.
upload_2017-5-28_17-29-7.png
 

Attachments

  • upload_2017-5-28_17-28-13.png
    upload_2017-5-28_17-28-13.png
    10 KB · Views: 107
Nataka nianze kudig in and out ya hii kitu, uzuri kuna list ya vitabu imetolewa basi nitakomaa na kimoja au viwili.
Poa mkuu ONTARIO kwenye training utakazoanza jaribu kuangalia muda mzuri wa kufanya maana kuna wafanyakazi na wengine wenye shughuli zao (yaani muda ambao hautawaathiri waajiriwa na wengine kama hao). By the way ni wazo zuri, wengine hatukua tu na starting point, nao imepatikana.
Kama muda wa kwenda Training hauna wa kufanya Trading tena kwa kutulia utaupata kweli?
 
Duuuu!! Post nzuri. Natamani nije mdau taratibu zake zikoje, ili nami nifanye biashara hii?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom