Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hakikisha kwanza kama kadi yako imewezeshwa kufanya manunuzi /malipo mtandaoni
Nimeenda bank ya posta wameniambia kadi zao haziruhusu kufanya manunuz mtandaon , ila wakaniambia niunganishe account yang na huduma ya internet banking,,
 
Nimeenda bank ya posta wameniambia kadi zao haziruhusu kufanya manunuz mtandaon , ila wakaniambia niunganishe account yang na huduma ya internet banking,,
Sijafahamu kama Internet banking itafanikisha, labda kama ungeweza kuunganisha kadi yako na Skrill, kwa EQUITY Bank ni rahisi sana
 
bank ya posta nifanyeje ??
Hakikisha kwanza (Kwa kufika benki) kama card yako imefunguliwa kuweza kufanya miamala mtandaoni.
au
Jaribu kuiongeza kwenye paypal account iwapo itakubali basi iko tayari kwa matumizi.

Baada ya kuwa tayari umehakiki inaweza kufanya miamala

basi inatakiwa u_login kwenye account yako

Kisha fuata maelekezo yatakayo jitokeza.

Angalizo
- Njia utakayotumia kufanya deposit ndio njia hiyo hiyo itatumika kutoa fedha toka kwa broker.
- Baadhi ya benki huwa zina usumbufu katika upokeaji wa fedha toka kwa broker.

HABARI NJEMA KWA FOREX TRADERS
- Ingia hapa:
Je hii habari njema ni ipi?
- Deposit na withdraw toka kwa broker kwa sasa imekuwa rahisi zaidi,
- Fedha unaipata direct kwenye namba yako ya MPESA

Nini cha kufanya
- Activate mastercard yako kwenye simu yako.
- Anza kwa jaribio la kudeposit kiasi kidogo, the withdraw hicho kiasi kwa njia hiyo ya mpesa

KILA LAKHERI NDUGU KATIKA FOREX
 
Sijafahamu kama Internet banking itafanikisha, labda kama ungeweza kuunganisha kadi yako na Skrill, kwa EQUITY Bank ni rahisi sana
- Kwa sasa uhamishaji wa fedha umekuwa rahisi sana,
Hasa kwa watumiaji wa SKRILL
Itakuwa ni skrill > vd mastercard > MPESA > Fedha mfukoni
 
Jamani naomba kuelekezwa option ya ku spot demand and supply zones.
 
Jamani naomba kuelekezwa option ya ku spot demand and supply zones.
Iwapo unatumia PC, weka hii indicator


1. Extract zip folder
2. Copy .ex4 file
3. Liweke hapa kwenye MT4: FILE > Open Data Folder > MQL4 > Indicator > Paste hapo, Restart Mt4 na angalia kwenye Navigator pannel utaweza kuiona hiyo ind, Then drag na iangushie kweny chart yako.

BTW - GBPUSD - H4
- Tayari imepoteza momentum, Buyers ni wachche sana.
- Soon later SELLERS will take over

Kila lakheri Ndugu katika FX
 

Attachments

Natumia Mobile Phone kaka
 
kaka nimeweza ku install hii kaka nimeona inaweka zones vyema kabisa na ina apply kwa pairs zote sasa tuelekeze matumizi yake mkuu
 
KWA WALE WANAO HITAJI KUFUNDISHWA FOREX NA MIMI FROM ZERO TO HERO ( Kwa kutumia Simple Trading strategy yangu )BAADHI YA MAELEKEZO NI HAYA KWENYE SCREENSHOT

 
- Kwa sasa uhamishaji wa fedha umekuwa rahisi sana,
Hasa kwa watumiaji wa SKRILL
Itakuwa ni skrill > vd mastercard > MPESA > Fedha mfukoni
Mkuu najaribu kuingiza expiry date wameniruhusu tu kuingiza tarehe na mwez , ila navyoandka tarakmu za mwaka haziend,, utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?
 
Kutoboa forex kuna siri nzito unatakiwa ujue, na traders wengi waliofanikiwa uwa hawatoi kizembe zembe ,mfano kuna uhuni mkubwa sana unafanywa na meta trader app kusoma sana mavitabu na articles sio solution ,inahitaji Ku hustle sana kujua njia za kutoboa forex
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…