AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Wachache Tunacomment,
Wengi Wanapiga Hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache Tunacomment,
Nahisi wengi tunacomment wachache ndo wanapiga helaWachache Tunacomment,
Wengi Wanapiga Hela.
Supply and Demand, ndizo zinazodetect direction ya market, japo co hasa ni sawa, lakn zinakaribiana sana na support and resistance.Mkuu jazia nyama kidogo kwenye maelezo yako, japo robo kilo! kama hutajali lakini!
Salute boss[emoji91]Supply and Demand, ndizo zinazodetect direction ya market, japo co hasa ni sawa, lakn zinakaribiana sana na support and resistance.
Kirahisi, fikiria soko la nyanya pale Kariakoo.
Ishu inayoamua bei ya nyanya ni supply na demand tu, hakuna kingine.
Supply ni (urahisi wa) upatikanaji wa bidhaa.
Demand ni uhitaji wa bidhaa, hapa ni nyanya.
Supply ikizidi demand, bei inashuka.
Demand ikizidi suppy (sema ndo christmass, wengi wanataka nyanya), bei inapanda.
So supply ni kama resistance, ambako bei hugeuza na kuanza kushuka chini.
Demand ni kama support ambako price hugeuza na kurudi juu.
More here:
https://dailypriceaction.com/forex-beginners/forex-supply-and-demand
jazia nyama kidogo kwenye maelezo yako, japo robo kilo! kama
Shukurani mkuu kwa kunipa mwanga, ngoja nichek hiyo link nijue jinsi pia ya kuziona na kuzchora kwenye chartSupply and Demand, ndizo zinazodetect direction ya market, japo co hasa ni sawa, lakn zinakaribiana sana na support and resistance.
Kirahisi, fikiria soko la nyanya pale Kariakoo.
Ishu inayoamua bei ya nyanya ni supply na demand tu, hakuna kingine.
Supply ni (urahisi wa) upatikanaji wa bidhaa.
Demand ni uhitaji wa bidhaa, hapa ni nyanya.
Supply ikizidi demand, bei inashuka.
Demand ikizidi suppy (sema ndo christmass, wengi wanataka nyanya), bei inapanda.
So supply ni kama resistance, ambako bei hugeuza na kuanza kushuka chini.
Demand ni kama support ambako price hugeuza na kurudi juu.
More here:
https://dailypriceaction.com/forex-beginners/forex-supply-and-demand
Mkuu his moving average unasetije? Mimi naona kama nashindwa.
hahaaaaaaa eti kajasho kalinitokaPata hii picha
Nilikuwa najaribu huduma ya FNB kwa kuamisha dola 2 ( US $2) toka skrill kuja banki, ( Ninakawaida ya kufanya majaribio kwanza kwa huduma zote zinazohusisha mtandao, fedha & banki)
Walichofanya sasa,
- Wamekata charges zao dola 25 ( Kutoka katika account yangu)
- Na kuniiingizia dola zangu mbili ( US $2) nilizozitoa skrill
Kajasho kalinitoka.
Mkuu his moving average unasetije? Mimi naona kama nashindwa.
Shukrani sana kaka. Sasa naomba kujua maana wengi hutumia 21SMA na 8SMA. Je hizi zinawekwa kwenye pale kwenye "Period" au "shift" mkuu.FUATA HATUA HIZI:
1. Tap juu ya chart, ukipata ring kama hiyo, utaenda kwenye alama f.
View attachment 859867
2. hapa kuna indicators nyingi, chagua moving average.
View attachment 859868
3. utapata page hii, ambayo utaset value za moving averages kuendana na mahitaji yako. ukimaliza utabinya done juu kulia.
(kwa mfano huu, moving average ni ya rangi nyekundu)
View attachment 859869
4. ukibinya DONE. mambo yanakuwa hivi:
View attachment 859870
kama ushaweka moving average kabla na unataka kuadd nyingine, utakapobinya "f" katika hatua ya kwanza utaona unafungua page hii... utabinya kwenye f+ juu kushoto, ambayo itakupeleka hatua ya 2. hapa pia panatumika kufuta indicator ambazo tayari ziko kwenye chart, just touch hiyo dustbin juu kulia na chagua indicator ya kuifuta kwa kumark vibox then touch tena dustbin.
View attachment 859872
maelezo haya ni kwa simu za Android pekee. iOS iko tofauti kidogo.
21 SMA ni Period unaweka 21 na unaweka Simple.Pia mkuu AMLIGHT kwenye kipengele cha "Close" na "Open" hapo hapo bado sijapaelewa furesh bro. Naomba maelekezo kidogo apo mkuu.
Ubarikiwe kaka.
Uliwahi pata jibu kwa hili swali?Jamani MT4 ya android haina pivont points setting vipi kuna alternative?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijapata jibu mkuu.Uliwahi pata jibu kwa hili swali?
Once nlikuwa natumia app hii:Hapana sijapata jibu mkuu.
Thanks mkuuOnce nlikuwa natumia app hii:
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.easy.pivotpoint
Ambayo ukiinstall kwa cm itakuwa inakupa pivot points kwa currency ulizochagua, then kila cku asbuh unazidraw kwa chart yako.
Ukidraw cku ya kwanza, cku zinazofuata inakuwa ni kuzidrag na kuziweka exactly kwa value ya cku husika, then utaweza kutrade pivots from your phone, mahali popote ulipo.
Poa, ukikwama usisite kuncheckThanks mkuu
PamojaPoa, ukikwama usisite kuncheck