Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizo levels zako(blue lines) unazipataje? unatumia fibonacci?
Hizo ni supply and demand mkuuMkuu hizo levels zako(blue lines) unazipataje? unatumia fibonacci?
Ndio
Mkuu jazia nyama kidogo kwenye maelezo yako, japo robo kilo! kama hutajali lakini!
NahitajiShukrani mkuu kwa hii thread
-------------------------------
UPDATE 2: June 3, 2018
- Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram yako pale kwenye search box andika @DTTfx
View attachment 792927
- Utapoke Entry & Exit kwa wiki 4 for free, Hasa kwa London Session & New York Session, Hivyo tegemea Pips za kutosha
- Hizi pairs ndizo nitakuwa nazo kwenye watch list:
AUDJPY, GBPJPY, GBPNZD, GBPAUD, GBPUSD, GBPCAD, EURAUD, EURCAD, EURJPY, EURUSD, NZDJPY, NZDUSD, USDJPY, XAUUSD
- Iwapo kuna pair unahitaji iwepo kwenye watch List nijulishe na nitaiongezea
---------------------------------
UPDATE 1: May 27, 2018
- Ikiwa ni mwaka mmoja umetimia tangu tuanze kujifunza FX
- Na ikiwa kama sehemu ya ku_share kile ninachokijua.
- Nimeanzisha Telegram channel ambapo nitakuwa na_share entry kwa Daytraders
- Kama unahitaji nikuunge kwenye hii channel yangu nitumie PM.
Nahitaji
Pitia kwenye comment zangu za August 25: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForumsNinaweza kuwa mwalimu wako,
Tutakuwa na live session kupitia ZOOM ( inatakiwa uwe na computer) Kila itakapo hitajika kufanya hivyo.
Nitakupatia VIDEO course (nilizonunua,) Pia nitakupatia custom indicator ambazo zitakupatia notification kwenye simu yako (PUSH NOTIFICATION ) pindi market setup inapokuwepo sokoni
Ili uweze kuelewa vyema hakikisha kwanza una basic knowledge itolewayo hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
Ghalama: US $150 - Sawa na TZS 360,000 Tu.
Muda:
- Wiki tatu (3): - Kwa anayeanza kabisa (Beginner)
- Siku mbili (2) - Kwa ambaye tayari amejifunza forex na anahitaji kujua jinsi ya kufanya TIMMING, kujua ENTRY NA EXIT ( Daily Market Cycle) SAHIHI katika soko
- Muda ni Masaa Matatu (Yes masaa matatu US $150) tu, kupitia ZOOM - Kwa ambaye anataka kujifunza TIMMING, ENTRY & EXIT hasa kwenye Daily Cycle, pamoja na kuwekewa custom indicator katika PC yake, ambazo zitakupatia notification kwenye simu yako (PUSH NOTIFICATION ) pindi market setup inapokuwepo sokoni.
KWA WALIO SERIOUS NA WANATAKA KUJIFUNZA UNAKARIBISHWA PM
NITAWEKA FULL LIST YA VIDEO COURSE OUTLINE YA NINI HASA UTAJIFUNZA ( Kwa yule anayeanza kabisa)