heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
wala si tapeli bro namjua vyema uyo mtu cc, pa.. , unajua mtu anavyo sema kufundisha si kwamba anashida ya hela ama vipi no kadri unapomfundisha mtu unapata kujua na vitu vingine zaidi note that. uyo jamaa ni real trader chek order nambaTapeli achana nae huyo.
Natoa rai kwa newbie na wote mnaotaka kujua Forex , someni na itumieni YouTube vizuri kila Kitu kinapatikana. Amini nawaambia Mimi nilitumia zaidi ya miezi mitano na kucheki YouTube videos za Forex nilijikuta najua mambo mengi sana.
Achaneni na kupigwa kiboya. Ukiwa mvivu kwenye Forex lazima uneemeshe matapeli wanaokuja na vitraining uchwara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app