Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye browser tumia chrome au Firefox browser ,, usitumie Opera ,, link hii Templer FX TraderHiyo account unafungua vipi? Kwenye browser au kwenye meta trade 4? Au kuna application ya templer fc trader?
Nimeenda bank ya posta wameniambia kadi zao haziruhusu kufanya manunuz mtandaon , ila wakaniambia niunganishe account yang na huduma ya internet banking,,Hakikisha kwanza kama kadi yako imewezeshwa kufanya manunuzi /malipo mtandaoni
Sijafahamu kama Internet banking itafanikisha, labda kama ungeweza kuunganisha kadi yako na Skrill, kwa EQUITY Bank ni rahisi sanaNimeenda bank ya posta wameniambia kadi zao haziruhusu kufanya manunuz mtandaon , ila wakaniambia niunganishe account yang na huduma ya internet banking,,
Hakikisha kwanza (Kwa kufika benki) kama card yako imefunguliwa kuweza kufanya miamala mtandaoni.bank ya posta nifanyeje ??
- Kwa sasa uhamishaji wa fedha umekuwa rahisi sana,Sijafahamu kama Internet banking itafanikisha, labda kama ungeweza kuunganisha kadi yako na Skrill, kwa EQUITY Bank ni rahisi sana
Iwapo unatumia PC, weka hii indicatorJamani naomba kuelekezwa option ya ku spot demand and supply zones.
Natumia Mobile Phone kakaIwapo unatumia PC, weka hii indicator
View attachment 865871
1. Extract zip folder
2. Copy .ex4 file
3. Liweke hapa kwenye MT4: FILE > Open Data Folder > MQL4 > Indicator > Paste hapo, Restart Mt4 na angalia kwenye Navigator pannel utaweza kuiona hiyo ind, Then drag na iangushie kweny chart yako.
BTW - GBPUSD - H4
- Tayari imepoteza momentum, Buyers ni wachche sana.
- Soon later SELLERS will take over
Kila lakheri Ndugu katika FX
Ni muhimu kwa trader kuwa na PC, kwani kuna usefull indicator nyingi sana, ambazo zinarahisisha upataji wa setup na pair ya ku_trade.Natumia Mobile Phone kaka
Yeah na hakuna asiyependa PC siyo tu kwa trader.Ni muhimu kwa trader kuwa na PC, kwani kuna usefull indicator nyingi sana, ambazo zinarahisisha upataji wa setup na pair ya ku_trade.
kaka nimeweza ku install hii kaka nimeona inaweka zones vyema kabisa na ina apply kwa pairs zote sasa tuelekeze matumizi yake mkuuNatumia Mobile Phone kaka
kaka nimeweza ku install hii kaka nimeona inaweka zones vyema kabisa na ina apply kwa pairs zote sasa tuelekeze matumizi yake mkuuIwapo unatumia PC, weka hii indicator
View attachment 865871
1. Extract zip folder
2. Copy .ex4 file
3. Liweke hapa kwenye MT4: FILE > Open Data Folder > MQL4 > Indicator > Paste hapo, Restart Mt4 na angalia kwenye Navigator pannel utaweza kuiona hiyo ind, Then drag na iangushie kweny chart yako.
BTW - GBPUSD - H4
- Tayari imepoteza momentum, Buyers ni wachche sana.
- Soon later SELLERS will take over
Kila lakheri Ndugu katika FX
Umeyumia PC ??kaka nimeweza ku install hii kaka nimeona inaweka zones vyema kabisa na ina apply kwa pairs zote sasa tuelekeze matumizi yake mkuu
ndio mimetumia PCUmeyumia PC ??
ina apply pairs zote na timeframes zote aiseeUmeyumia PC ??
Mkuu najaribu kuingiza expiry date wameniruhusu tu kuingiza tarehe na mwez , ila navyoandka tarakmu za mwaka haziend,, utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?- Kwa sasa uhamishaji wa fedha umekuwa rahisi sana,
Hasa kwa watumiaji wa SKRILL
Itakuwa ni skrill > vd mastercard > MPESA > Fedha mfukoni
Tumia PC, Nirahisi zaidiutaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?