Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
TEMPLER
with as minimun as $1 deposit and withdraw, via mpesa, skrill. Huenda ndo broker rahisi zaidi kumtumia, simple deposit and withdraw method, pia easier registration processes.
( https://templerfx.com )

PEPPERSTONE
minimum deposit of $25, no M Pesa. Available is skrill , netteller, direct bank and other ways...
( https://secure.pepperstone.com )

TICKMILL
minimum deposit $100. wako katika majaribio ya Mpesa, na wengine tulishajaribu kudeposit kwa mpesa na ikawa poa. japo ilisitishwa kwa muda. other deposit ways available includes skrill and visa.
NOTE: ukitaka kujisajili hapa hakikisha unatumia Tickmill Seychelles, huko ndipo Tanzania ipo, Haipo katika Tickmill UK.

( http://tickmill.com/seychelles )
 
Tickmill minimum deposit ni $100
 
Inakuaje hii boss naomba maelezo mkuu kama hutajali
ni rahisi 2 tumia hyo link kuingia af kajiunge kwenye ukurasa wa kwanza kuna sehem iliyoandikwa register.
baada ya hapo utakuw unapata hela kwa ku enter namba ambazo utapewa. chini ya hizo namba kuna matangazo ambapo kwa kuingiza hzo namba utaonekana kam umesoma hayo matangazo xo utalipwa.
Kila LA kheri

Viewing payed advertising sites lusmoney.club - Welcome! link ndo hiyo
 
Ahsante Mkuu nimeshafanya registration vip naweza kuwithdraw hata kama nina 0$ kwenye referral?
 
Ahsante Mkuu nimeshafanya registration vip naweza kuwithdraw hata kama nina 0$ kwenye referral?
Acha uzwazwa hakuna cha hela hapo,kama unataka hela online jifunze hiyo forex au kama una professional au kipaji flani fanya freelancing, fungua website ufungue store ya drop shipping/desk jobbing... ila mambo ya paid ads ni uongo tupu mimi nimepoteza week mbilu huko nikajionea mwenyewe ,,eti uingize namba update hela hahahah
 
Mkuu hiyo forex nafanya ila hiyo nyingine ya freelancing nipe darasa kidogo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…