Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye verification sijaelewa, yaani sijaona sehemu ambayo natakiwa kuverify kwenye app,na kuhusu Credit card nina TemboCard VISA haifai hii lazima MasterCard?
 
Hapo kwenye verification sijaelewa, yaani sijaona sehemu ambayo natakiwa kuverify kwenye app,na kuhusu Credit card nina TemboCard VISA haifai hii lazima MasterCard?
Ukitumia app kwa muda kuna wakati itakuwa inakupa pop up za verification, au unaweza tuma id zako kwenye email yao. Hyo card iko poa, ila tabu, withdraw direct to card zinachelewa
 
1.postal code nimebuni
Je kwanini ubuni?
Unapaswa kujua post code yako, Tembelea ukurasa wa TCRA kupata postcode yako
2.naona ina simple process yaani hata ID haihitajiki
Sahihi, initial registartion haina tatizo, ni kuweka taarifa zako na account inakuwa tayari kupokea fedha.
Hapo umechanganya habari.
Yaonekana kuwa ulikuwa huna hakika ya nini hasa unatakiwa kufanya, bali ulikuwa ukijaribu kubahatisha. Kitu ambacho sio sahihi.
4.nimeona kuwa ili ulipe kupitia hii skrill ni unatakiwa kuingiza email hii naona kama ni rahisi kuhack
Skrill ni Moja ya kati ya site zenye mifumo salama zaidi, katika haya maswala ya fedha, site zingine salama ni paypal, alipay, amazon pay etl. Hivyo ondoa shaka katika hilo.
NB:Naomba maelezo maana wewe una experience na hivi vitu.
Ili ufanikishe kufanya verification kirahisi
1. Tumia PC
2. Tumia google chrome - itakuwa rahisi kwa sytem yao ku_capture geo location yako, na kufanya zoezi zima kuwa rahisi.
usitumie skrill hao jamaa watakisumbua kufanya verification huku hela wakiwa wameilock ndo inakua imekwenda hivo
Ukisoma maelekezo kabla ya kuanza kufanya verification hakuna ugumu wowote.
Tatizo linakuja kwa wale wanaotaka kutumia simu kwa process zote ndio hupata tabu.
Kushindwa kuverify taarifa zako, ni uzembe wa mhusika sababu kila kitu kiko wazi stepwise.
Siri ni hiyo hapo juu TUMIA PC na TUMIA CHROME uone kama kuna mahala utakwama.
Fanya verification taratibu, pasipo akaunt yako kuwa na hata sent, au la fanya upate mastercard ambayo utaitumia kudeposit na kuwithdraw, lakini kiukweli, ni rahc zaidi ukiwa na skrill, mana ni instant...
Skrill wana restriction kwa kadi za mastercard hasa katika kutoa fedha. Ni vyema akatumia au akawa na visa card.
Kwa upande wa usalama skrill wanafanya vizuri, na hii ndio inawaongezea watumiaji kila kukicha.
So, do what you seem fit, and easier to you.

ingekuwa iko easy kuihack, watu wasingeitumia
Nadhani hapa alikuwa anazungumzia kitu asichokijua kiungani.
Skrill wame invest sana katika mifumo ya usalama kuhakikisha watumiaji wanakuwa salama.
 
Hapo kwenye verification sijaelewa, yaani sijaona sehemu ambayo natakiwa kuverify kwenye app,
Ni vyema ukatumia PC na chrome browser, sio kila kitu ufanyie kwenye simu.
na kuhusu Credit card nina TemboCard VISA haifai hii lazima MasterCard?
Tumia visa ndio bora zaidi kwa skrill.


Ila kwanza hakikisha unafika benki husika ili waiwezeshe kadi yako iweze kufanya miamala mtandaoni.
By default card iko blocked kuweza kuyfanya miamala mtandaoni kwa usalama wa watumiaji, hivyo kuna fomu maalum utajaza ndio hiyo card yako itakuwa tayari kwa matumizi.
 
Asante
 
Ukitumia app kwa muda kuna wakati itakuwa inakupa pop up za verification, au unaweza tuma id zako kwenye email yao. Hyo card iko poa, ila tabu, withdraw direct to card zinachelewa
Asante ,pia
 
Je naweza kubadilisha postal code?
 
Hii Card nilishaiactivate kwa online payment,nilijaza form na nikatumiwa verification code nikafuata na taratibu zote na ikawa teyari, wasiwasi wangu ni kuwa unaweza kuwa Bank account yangu unaweza kuwa deactivated maana tangia nilipofungua hii account hadi leo ni kama miezi miwili na siku sita na sijawahi deposits chochote na niliwithdraw 5000TZS kwenda tigo pesa(life liliyumba) ila nikiuliza salio kwa SIMU BANKING kuna kama 8000+TZS
 
Haiwezi kuwa deactivated ikiwa inafedha.
Kwa sasa nipo nyumbani Mtwara ila mwezi ujao kama sio huu mwishoni naanza chuo UDSM je nitumie postal code ya hapa nilipo sasa au nitakaposettle for near future?
 
kwa yeyote anayejifunza forex ambaye yupo Tengeru au maeneo ya jirani hapa Arusha tuwasiliane tupeane ushauri na kubadilishana uzoefu....mie bado najifunza ila nimeanza live acc
Mimi niko njiro mkuu nicheki apa 0693 154 420
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…