OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mkuu mimi nisha veri fai izo steji apo lakini kwenye aidentiti ni in progress afta masaa 72. so ndo ivyo inavyokuwa mkuu.?Kabla hujafika kufungua live account, unapaswa kuverify at least vitu vitatu:
1. Email.
2. Namba ya simu.
3. Identity.
Ukimaliza hvyo utafuata hatua ulizofuata za kufungua Micro account, na kufungua Live Centforex. Hiyo ndo Micro Account kwa Templer.
Usisite kuomba usaidizi kama utaendelea kupata shida.
Halafu kwenye demo cent nimeona $10, nikajaribu kufungua ingine ikawa 1.15$ sasa hii kwenye MT4 naingizaje mkuu?