Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu natafuta account manager mzuri wa hapa bongo , nisaidien
Kuna mtu aitwa Francisco Chanimbaga wa FMI, umewahi kumsikia? Naye anatoa huduma hyo. Huyu, namrecommend. Startup Capital $1000.

kuna mwingine aitwa Idris Masudi, huyu usimjaribu, labda kama umeamua tu kupoteza pesa yako. Startup Capital $300.

Kuna mwingine aitwa Steve, huyu yuko friendly, atakuwa fresh, kaandika na kitabu cha forex chaitwa 012 Effect. Startup Capital $1000.
 
Okey shukran , wanarecommand na broker?
 
Kuna mtu aitwa Francisco Chanimbaga wa FMI, umewahi kumsikia? Naye anatoa huduma hyo. Huyu, namrecommend. Startup Capital $1000.

kuna mwingine aitwa Idris Masudi, huyu usimjaribu, labda kama umeamua tu kupoteza pesa yako. Startup Capital $300.

Kuna mwingine aitwa Steve, huyu yuko friendly, atakuwa fresh, kaandika na kitabu cha forex chaitwa 012 Effect. Startup Capital $1000.
Chanibanga nampata , pmj na Steve , huyu Idris sijawahi msikia
 
No. Kwa France ni poa zaidi. Mana ni kampuni, unaingia mkataba nao then unadeposit minimum $1000 kupitia bank then wanakutumia faida every month, nadhani kupitia bank... Nadhani na Steve anatumia utaratibu huo.
Wanarecommand na broker?
 
Nimeweka abc's za nini nafanya kwenye forex hapa: Posti ya tatu: https://bit.ly/2MzInU3

View attachment 889114

Hivyo unapo wasilian nami kuwa wazi nini hasa unahitaji
(a) Kupewa samaki (Kupewa Trtrading signal na kuwa tegemezi wa signal) au

(b) Kufundishwa kuvua samaki ( Kulitazama soko/ charts na kuona trading opportunity na kufanya maamuzi wewe binafsi kama uingie au usiingie, kwa kutegemea setup unayo iona)

Karibu
Mkuu unauza dola skrill?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom