Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu cha kwanza ni ELIMU, ELIMU, ELIMU kuhusu forex:Kwanza si unatumia app kufungua Forex au unaanzej
1. Tafuta kijidaftari, cha kuandika nukuu muhimu.Bas plz nipewe elim hiyo
wadau mnaboa sasa kila muda promotion achaneni ni link fanyen kazi ya kutrade
mtafute pancho_panchilo instagramWakuu natafuta account manager mzuri wa hapa bongo , nisaidien
Ukipata hasara au kuchoma account inakuwaje?.. wana kurefund?No. Kwa France ni poa zaidi. Mana ni kampuni, unaingia mkataba nao then unadeposit minimum $1000 kupitia bank then wanakutumia faida every month, nadhani kupitia bank... Nadhani na Steve anatumia utaratibu huo.
That's where the contract comes in... Mkataba wao utakuwa umeeleza kila kitu... But to answer easily, yes. Lakini hawatokurefund 100% of the capital...Ukipata hasara au kuchoma account inakuwaje?.. wana kurefund?
Broker Naye mkubali kwa Sasa maana anasaidia Kutoa Mpesa Na Bado unaweza deposit at $10 ukaanza kutrade fasta...Kama Hauna akaunti ni vyema uwe nayo ni Templer Fx, maana waweza Deposit na Withdraw kwa Mpesa ata Kama siku imeangukia Christmass ,au Nyerere day kwao hakuna Cha Weekend Transaction ni any time waweza withdraw $1 kwa ajili ya vocha na itakufikia kwa tigopesa au Mpesa Hapo hapo.. na ukifungua akaunti akikisha unatumia UNIVERSAL ACCOUNT , na verify kitambulisho chako kabla ya deposit piga Picha ( Driver licence, Voting ID au National ID) link ndiyo iyo
https://tinyurl.com/y96fbk2s
Ukipata screenshot ziambatanishe hapa.... Lakini nimetrade nao.... Kwa uzuri wasiwasi nasijaona fake candles, kwa Pesa ni Mpesa Na Airtel Pesa pekee tigopesa hakuna... Nimeenda mlama hapoNasikia anatengeneza fake candles ili kuhunt stop loss, anapunguza pips
Na kuhusu tigo pesa ni kweli ipo? maana najua ana mpesa na airtel money
Ukipata screenshot ziambatanishe hapa.... Lakini nimetrade nao.... Kwa uzuri wasiwasi nasijaona fake candles, kwa Pesa ni Mpesa Na Airtel Pesa pekee tigopesa hakuna... Nimeenda mlama hapo
Hiyo kampuni yao inaitwaje!? Na nikitaka kuwapata nawapataje!?No. Kwa France ni poa zaidi. Mana ni kampuni, unaingia mkataba nao then unadeposit minimum $1000 kupitia bank then wanakutumia faida every month, nadhani kupitia bank... Nadhani na Steve anatumia utaratibu huo.
Umewahi sikia Forex Money Industry?Hiyo kampuni yao inaitwaje!? Na nikitaka kuwapata nawapataje!?