Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kabla hujafika kufungua live account, unapaswa kuverify at least vitu vitatu:

1. Email.
2. Namba ya simu.
3. Identity.

Ukimaliza hvyo utafuata hatua ulizofuata za kufungua Micro account, na kufungua Live Centforex. Hiyo ndo Micro Account kwa Templer.

Usisite kuomba usaidizi kama utaendelea kupata shida.
Mkuu mimi nisha veri fai izo steji apo lakini kwenye aidentiti ni in progress afta masaa 72. so ndo ivyo inavyokuwa mkuu.?

Halafu kwenye demo cent nimeona $10, nikajaribu kufungua ingine ikawa 1.15$ sasa hii kwenye MT4 naingizaje mkuu?
 
Asante kwa nyuzi hii nzuri japo nimeipikea taarifa kwa majonzi makubwa maana nilishaanza kupata mwaka wa kutosha kupiga pesa kupitia hii biashara baada ya kusoma kwa muda wa miezi mitatu ya likuzo yangu ya form six mwaka huu, na nilipanga niifanye nikiwa chuo anyway pepo muhimu.

Nishauri nitumie njia ganii ,maana nategemea nianze real account mwezi ujao.
Naona umechagua Forex,goodluck!
 
Shukurani kwa mchango wenu Mwl.RCT na AMLIGHT nilifanikiwa kufungua cent account na kuweka pesa templefx lakini shida ya sahizi kubadili ile mt4 demo account kwenda kwenye cent account nikijaribu kulog in inaload af inatokea oops kuwa authorization failed shida Nini Hapo msaada wenu tafadhari
 
Password. Kumbuka password ya web haifanani na ya MT4.
 
Mkuu mimi nisha veri fai izo steji apo lakini kwenye aidentiti ni in progress afta masaa 72. so ndo ivyo inavyokuwa mkuu.?

Halafu kwenye demo cent nimeona $10, nikajaribu kufungua ingine ikawa 1.15$ sasa hii kwenye MT4 naingizaje mkuu?
Ukimaliza kuverify, nenda sehemu ya kufungua akaunt mpya, fungua Live Centforex.

Hii unaedeposit kama kawaida tu. Kama UniversalFX.

Ukideposit kwa kufuata hatua za kwenye web, ukaweka $1, kule kwa MT4 itaenda kusoma 100.

Labda kama cjaelewa swali vizuri.
 
Nami jana nimedeposit cent kwa $1, nkaweka tick sehemu ya bonus...
1085111249.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom