Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hapana, bado mwanafunzi so kusafiri mpaka semester iishe na jamaa sijui kama atakuwa anatuma video Youtube ...
Pole sana. Ukiwa nyumbani uanze kujisomea mdogo mdogo. Hata ukikosa kwenye hiyo list ya hao 300 bado unaweza kuomba nafasi ya upendeleo.
 
Dah, Ww ontario ni mtu wa pekee sana..
 
Aisee nimefungua demo acc forex.com,naona maruweruwe tu,ila kutoka chapter one ya currency trading nimejifunza kufatilia news,ila hii ishu ni very complicated,ila ntaijua tu.
Hata mm nmefungua demo kabla ya huu uzi, yani ni kichina, bora hata nikanunue hisa nilale
 
Nataka nianze kudig in and out ya hii kitu, uzuri kuna list ya vitabu imetolewa basi nitakomaa na kimoja au viwili.
Poa mkuu ONTARIO kwenye training utakazoanza jaribu kuangalia muda mzuri wa kufanya maana kuna wafanyakazi na wengine wenye shughuli zao (yaani muda ambao hautawaathiri waajiriwa na wengine kama hao). By the way ni wazo zuri, wengine hatukua tu na starting point, nao imepatikana.
 
Swali dogo:
Hizo hela za huo utajiri zinatoka nani?
Kwa wasio wazoefu wanaochoma akaunti zao?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…