Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
naomba mawasiliano yako bro, nicheck kwa simu au WhatsApp kupitia namba yangu +255743020300
 
Kitu cha kwanza ni ELIMU, ELIMU, ELIMU kuhusu forex:

Ndipo maswala mengine yanafuata.
Nimeuona ule msemo wako wa kupewa samaki au kufundishwa kujivulia samaki
"Fish for me and I will eat for today,but teach me how to fish and I will eat the rest of my life"- Steve Nison @2003..Candlesticks Course.
 
Sahihi, Nimeweka wazi kwenye Comment no.11,312
Hivyo kwa mdau yeyote ana uamzi wa kujichagulia option A au B
 
Nipo Arusha pia and I am iterested. Kama vipi tutafutaneni tuliweke sawa hili.
Oukey...ila tungepata mtu mwenye mwanga zaidi atufungue ingekuwa jambo la maana...kwa wale mliopo Arusha kuna mtu ambaye ameshaanza kutrade live account atushike na sisi mkono?
 
Habari ndugu,, katika pita pita zangu wakati natafuta broker mzuri zaidi kwaajili ya kuendelea ku trade nikakuta
Na hawa broker
1:SPARTAN
2:INHALT
kwa anaewafahamu vizuri naomba details zao au yupi ni Bora zaidi?
 
Habari ndugu,, katika pita pita zangu wakati natafuta broker mzuri zaidi kwaajili ya kuendelea ku trade nikakuta
Hao broker taarifa zao ni chache/ hakuna mtandaoni
SpartanFX - Huyu ameelezewa kama "Offshore forex broker" sio salama.

Pitia hili bandiko:

Na pitia Hili bandiko:

Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker - JamiiForums

KISHA FANYA UTAFITI UPYA NA UCHAGUE BROKER SAHIHI
 
Reactions: 911
Kuna broker fulan anaitwa Fxcm nadhan yuko vzur maana nmepitia taarifa zake kwa kina sana lkn kuna hawa broker FBS,INSTAFOREX name TEMPLERFX sio wazur kwa upande Wang
Naihitaj kujua kutoka kwenu wakuu kma npo sahihi
 
Du hii hatari sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…