Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Huyo ulimtaja ni broker poa..

Ila hao ndugu hapo chini ni hatar [emoji3][emoji3]
Kuna broker fulan anaitwa Fxcm nadhan yuko vzur maana nmepitia taarifa zake kwa kina sana lkn kuna hawa broker FBS,INSTAFOREX name TEMPLERFX sio wazur kwa upande Wang
Naihitaj kujua kutoka kwenu wakuu kma npo sahihi
 
Mambo yanakua mambo [emoji16]
Screenshot_20181021-202655.jpeg
 
Kwan crdb wanatoa card ngap? Hafu hiz card unachagua mwenyewe , ?
Si kuna master card ,visaa ,sasa mara ya mwisho nimeona skrill wanasema hawakubal mastercard kwa mda huo..sijui kwa sasa kama wana kubali
 
Si kuna master card ,visaa ,sasa mara ya mwisho nimeona skrill wanasema hawakubal mastercard kwa mda huo..sijui kwa sasa kama wana kubali
Sema mm card yangu Ni ya MasterCard, vip ili nipate ya visa Kuna utaratibu wowote?
 
Sema mm card yangu Ni ya MasterCard, vip ili nipate ya visa Kuna utaratibu wowote?
Hapo nafkri unatakiwa uwacheki...ila pia confirm kwanza saiz kama skrill wanapokea mastercard..mana walistopisha tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom