It's time wanaokuja na kuipondea forex, au wanaofanya forex, iwe ni kuwakaushia tu.. Forex inatupa stress za kutosha, achana na hao wanaotaka kutuongezea stress.
Bahati mbaya au nzuri, tunajua tunachopata na/au tunacholoose... It's my money I use it the way I want...
Kama nkiamua kuichezea kamari humu nkapigwa, ni pesa yangu, its like wao, mbona wakienda bar wakanunua bia hata kreti, kwa pesa zao hatuwafuatilii...
They just have to think kwamba, badala ya bia au beach, tumechagua MT4.
Kila mtu afanye analoona ni sahihi kwake... Asiwepo wa kumfuatilia, au kumteka[emoji1][emoji1], mwenzake.
Keep Calm and Analyse Your Charts.
We don't have to insult them to let them know what's going on. Just let them be. Maybe one day they'll know what's going on....