Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kuna broker fulan anaitwa Fxcm nadhan yuko vzur maana nmepitia taarifa zake kwa kina sana lkn kuna hawa broker FBS,INSTAFOREX name TEMPLERFX sio wazur kwa upande Wang
Naihitaj kujua kutoka kwenu wakuu kma npo sahihi

Bado mnakomaa? Loh. Tafuta comment zangu za nyuma juu hili suala la forex

Naona kabisa nilikuwa sahihi. Hamna shangwe hapa kwa uzi. Inaonyesha kupigwa ndo mpango mzima kwa kila aliyetia mguu online forex. Hii kitu sio kamali lakin ni utapeli tupu.

Tangia siku zile hamna aliyepata? Yaaani sisi wote? Anyway, labda tusubiri mpaka baada ya miaka 10 na baada ya jasho jingi ndo tutapata. Biashara kichaa hii. Si bora ufungue genge au ukalime
 
Si kuna master card ,visaa ,sasa mara ya mwisho nimeona skrill wanasema hawakubal mastercard kwa mda huo..sijui kwa sasa kama wana kubali
Hivi hi Ni tembo MasterCard , au ni Visa MasterCard?
 

Naona unavyojatibu kujifananisha wewe na wenzako Hahahah

Forex is not for everyone bruh
 
Unataka screenshot? Za kazi gani? Hata wanaolima wakisema wanafanikiwa mtasema wapge picha mashamba muamini kuwa wanalima na mazao yamekubali[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu toa matako yako hapa kalime mwenyew tutakupiga midole kama unachezea uzi wetu
 
Jaman naombeni msaada kwenye hili
Leo nmejaribu kuwithdrawal $250 kupitia skrill akaunti kwa Mara ya kwanza kwenda mpesa MasterCard ila nmekumbana na ugumu kidogo
Nilikuwa nahitaji ku add bank account lkn kuna neno hili ''"SWIFT""' sijalielewa linaanisha nini na linataka nini?????

Jamani naomba msaada kwenye hili wakuu
 
Nenda Google andika Tanzanian Bank SWIFT CODE wataleta list angalia ya Bank yako then maliza kazi.
 
Nenda Google andika Tanzanian Bank SWIFT CODE wataleta list angalia ya Bank yako then maliza kazi.
Ukiletewa ingiza hizo namba usitake kuelewa saana ,alafu usiwe na papara kwenye kusoma list maana unaweza ukawa ya Bank yako huioni kwa ajiri ya shauku ya hela
 
Kwan mpesa MasterCard waliingia ubia na benk gan kutengeneza hizi MasterCard?
 
Mwingine ni pancho panchilo wa forex engineers
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…