heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
spread diferenceInakuwaje hii mbona kuna tofauti kati ya mabroker wawili, maelezo kidogo wakubwa.View attachment 910173View attachment 910175
uyo wa chini ndo safe broker uyo wa juu alikula stoploss kwanza ndo akatembeaInakuwaje hii mbona kuna tofauti kati ya mabroker wawili, maelezo kidogo wakubwa.View attachment 910173View attachment 910175
oi Mr maenda naomba unitafute bro.....my contact 0743020300Mim nmeanza real account mwez ulopita kwa mtaji wa $50 na kufikia Jana tu nmefanikiwa kujaza profit ya $565
Na jana nmeamua kuchomoa $250 japo kuwa bado haijanifikia mkonon ili kudhibitisha ntatuma evidence pindi itapofika mkonon
umenena kweli,hawa mabroker ukishadeposit pesa yako, kupata faida ni kimbembe kweli kweli, watafanya wawezalo kukupa loss... kuna muda hata option ya kuclose trade wanaisuspend kwa muda ili tu upate loss...Kupata faida ni ngumu mnoNdo utashangaa mkuu. Badala ya kusoma machart Na kutrade inakuwa full kufungua magrupu? Wao kutrade hakulipi? Inalipa kuuza signal Na kufungua magrupu?
Binafsi kitambo nimeifanyia extensive research hii business, kwa kadri nilivyoweza. Ni utapeli kwa kwenda mbele, kuanzia Na huyo XM wao.
Biashara yenyew ni halali lakin imejngiliwa Na matapeli Na huna pa kuwashtaki wengi wao , ukiachilia mbali wachache kama kina lcg etc waliosajiliwa Barbara kutoka baadhi ya nchi ziitwazo zenye Strong financial regulations. Na wao pia kama kina oanda wamejaa rafu vilevile Na wamewah shtakiwa.
Ukitaka kufuatilia zaid nenda Google online forex scam. Halafu fuatilia. Kuna habari kedekede za mabroker na michezo yao ya kuunguza akaunti za watu. Habari zinaweza kuwa zinafutwa pia.
Kimsingi mabroker wamefungua hiyo shughuli ili wapate hela. Ikila kwako ndo faida kwao. Take care
Hii changamoto huwa mnafanyaje sasa,mie bado niko ktk darasa ktk huu Uzi,sijaingia rasmiumenena kweli,hawa mabroker ukishadeposit pesa yako, kupata faida ni kimbembe kweli kweli, watafanya wawezalo kukupa loss... kuna muda hata option ya kuclose trade wanaisuspend kwa muda ili tu upate loss...Kupata faida ni ngumu mno
MT4 ku_freeze hasa wakati wa news hutokana na low liquidity,umenena kweli,hawa mabroker ukishadeposit pesa yako, kupata faida ni kimbembe kweli kweli, watafanya wawezalo kukupa loss... kuna muda hata option ya kuclose trade wanaisuspend kwa muda ili tu upate loss...Kupata faida ni ngumu mno
Nilichojifunza hadi sasa, tatizo liko kwetu traders kutokuwa na subira, ndicho kinachotumaliza.Hii changamoto huwa mnafanyaje sasa,mie bado niko ktk darasa ktk huu Uzi,sijaingia rasmi
cha muhimu ni kuwa makini wakati wa kuchagua broker, kuna wachache ni wazuri, halafu, usithubutu kudeposit amount kubwa unapoanza, anza na kiasi kidogo tu ili uzoee maumivu ya kuchoma accountHii changamoto huwa mnafanyaje sasa,mie bado niko ktk darasa ktk huu Uzi,sijaingia rasmi
Nitakutafuta nikiwa tayariMT4 ku_freeze hasa wakati wa news hutokana na low liquidity,
Pili miundombinu mibovu ya broker husika.
Hivyo kitu muhimu cha kwanza ni kupata broker sahihi, mwenye track record nzuri.
Nilichojifunza hadi sasa, tatizo liko kwetu traders kutokuwa na subira, ndicho kinachotumaliza.
Unapo ona trading opportunity inatakiwa ujilizishe kwa kusubiri angalau H1 candle iweze kufunga, Pili kutumia Tight stop loss ni kipengele kingine kinachotumaliza, yaani
- Entry sio sahihi,
- Pili Stop loss too tight - Hivyo market inapo_swing up and down lazima utolewe sokoni
- Kutokuweka sehemu sahihi stop loss, hivyo inaondolewa mara kwa mara.
FX haina tatizo, Tatizo liko kwetu retail traders
Hii ni point ya msingi sana.usithubutu kudeposit amount kubwa unapoanza, anza na kiasi kidogo tu ili uzoee maumivu ya kuchoma account
Ukiwa MTU wa kuhama hama nchi hasa hz za ki afrika ,fx unaweza kuifanya kwa ufanisi? Kwa maana ya kudeposit ,kudraw na vitu km hivyoHii ni point ya msingi sana.
Mfano trader anaye anza akiweza kuikuza mara tatu starting balance, basi atakuwa ameelewa nini anachokifanya.
Huwa nawashauri waanze na kiasi kisichozidi US $50.
Ndio.fx unaweza kuifanya kwa ufanisi?
Nitahitaji contact zako ili tufanye mawasiliano unipe darasa kwa ujumlaNdio.
Kwa Sababu visacard/ mastercard utatumia mahala popote pale uendapo, maana fedha itaingia kwenye account yako na utaweza kuitumia bila shida.
https://bit.ly/2MzInU3 Nimeweka hapo, Post no.3Nitahitaji contact zako ili tufanye mawasiliano unipe darasa kwa ujumla
Kwanini uppate shida ya kuclose order manual?? kwanini usiset stop losses na profit target kabla hujaexcute trade, au ndo wale mnasoma buy low and sell high alafu unarukia live trading.?umenena kweli,hawa mabroker ukishadeposit pesa yako, kupata faida ni kimbembe kweli kweli, watafanya wawezalo kukupa loss... kuna muda hata option ya kuclose trade wanaisuspend kwa muda ili tu upate loss...Kupata faida ni ngumu mno
kuna kitu kinaitwa naked forex unajua maana yake?. au ukifanya scalping kuna haja ya stop loss na take prpfit?. Kuna muda umeshaingiza profitna unaona kuna dalili ya chart kureverse unaamua ku klose trade kabla haijafikia take profitKwanini uppate shida ya kuclose order manual?? kwanini usiset stop losses na profit target kabla hujaexcute trade, au ndo wale mnasoma buy low and sell high alafu unarukia live trading.?
Naked forex haimaanishi unaplace order bila stops and targets, naked siyo lazima iwe scalping ,inaweza kuwa swing trade, position ,medium term trade etc. ila Naked ni clean chart yenye support, resistance,trendlines, supply and demands,200MA(hii EMA ni confluence tu, cyo part ya naked)kuna kitu kinaitwa naked forex unajua maana yake?. au ukifanya scalping kuna haja ya stop loss na take prpfit?. Kuna muda umeshaingiza profitna unaona kuna dalili ya chart kureverse unaamua ku klose trade kabla haijafikia take profit
cha muhimu ni kuwa makini wakati wa kuchagua broker, kuna wachache ni wazuri, halafu, usithubutu kudeposit amount kubwa unapoanza, anza na kiasi kidogo tu ili uzoee maumivu ya kuchoma account
Mkuu, Kama hujali hebu waweke hapa hao brokers wazuri