Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
[emoji36] [emoji36] [emoji8] [emoji8]
IMG_20181026_221657_674.jpg
IMG_20181026_191403_614.jpg
IMG_20181027_032912_615.jpg
IMG_20181024_190151_918.jpg
 
Mim nmeanza real account mwez ulopita kwa mtaji wa $50 na kufikia Jana tu nmefanikiwa kujaza profit ya $565
Na jana nmeamua kuchomoa $250 japo kuwa bado haijanifikia mkonon ili kudhibitisha ntatuma evidence pindi itapofika mkonon
oi Mr maenda naomba unitafute bro.....my contact 0743020300
 
Ndo utashangaa mkuu. Badala ya kusoma machart Na kutrade inakuwa full kufungua magrupu? Wao kutrade hakulipi? Inalipa kuuza signal Na kufungua magrupu?

Binafsi kitambo nimeifanyia extensive research hii business, kwa kadri nilivyoweza. Ni utapeli kwa kwenda mbele, kuanzia Na huyo XM wao.
Biashara yenyew ni halali lakin imejngiliwa Na matapeli Na huna pa kuwashtaki wengi wao , ukiachilia mbali wachache kama kina lcg etc waliosajiliwa Barbara kutoka baadhi ya nchi ziitwazo zenye Strong financial regulations. Na wao pia kama kina oanda wamejaa rafu vilevile Na wamewah shtakiwa.

Ukitaka kufuatilia zaid nenda Google online forex scam. Halafu fuatilia. Kuna habari kedekede za mabroker na michezo yao ya kuunguza akaunti za watu. Habari zinaweza kuwa zinafutwa pia.

Kimsingi mabroker wamefungua hiyo shughuli ili wapate hela. Ikila kwako ndo faida kwao. Take care
umenena kweli,hawa mabroker ukishadeposit pesa yako, kupata faida ni kimbembe kweli kweli, watafanya wawezalo kukupa loss... kuna muda hata option ya kuclose trade wanaisuspend kwa muda ili tu upate loss...Kupata faida ni ngumu mno
 
Hii changamoto huwa mnafanyaje sasa,mie bado niko ktk darasa ktk huu Uzi,sijaingia rasmi
 
MT4 ku_freeze hasa wakati wa news hutokana na low liquidity,
Pili miundombinu mibovu ya broker husika.
Hivyo kitu muhimu cha kwanza ni kupata broker sahihi, mwenye track record nzuri.
Hii changamoto huwa mnafanyaje sasa,mie bado niko ktk darasa ktk huu Uzi,sijaingia rasmi
Nilichojifunza hadi sasa, tatizo liko kwetu traders kutokuwa na subira, ndicho kinachotumaliza.
Unapo ona trading opportunity inatakiwa ujilizishe kwa kusubiri angalau H1 candle iweze kufunga, Pili kutumia Tight stop loss ni kipengele kingine kinachotumaliza, yaani
- Entry sio sahihi,
- Pili Stop loss too tight - Hivyo market inapo_swing up and down lazima utolewe sokoni
- Kutokuweka sehemu sahihi stop loss, hivyo inaondolewa mara kwa mara.

FX haina tatizo, Tatizo liko kwetu retail traders
 
Hii changamoto huwa mnafanyaje sasa,mie bado niko ktk darasa ktk huu Uzi,sijaingia rasmi
cha muhimu ni kuwa makini wakati wa kuchagua broker, kuna wachache ni wazuri, halafu, usithubutu kudeposit amount kubwa unapoanza, anza na kiasi kidogo tu ili uzoee maumivu ya kuchoma account
 
MT4 ku_freeze hasa wakati wa news hutokana na low liquidity,
Pili miundombinu mibovu ya broker husika.
Hivyo kitu muhimu cha kwanza ni kupata broker sahihi, mwenye track record nzuri.

Nilichojifunza hadi sasa, tatizo liko kwetu traders kutokuwa na subira, ndicho kinachotumaliza.
Unapo ona trading opportunity inatakiwa ujilizishe kwa kusubiri angalau H1 candle iweze kufunga, Pili kutumia Tight stop loss ni kipengele kingine kinachotumaliza, yaani
- Entry sio sahihi,
- Pili Stop loss too tight - Hivyo market inapo_swing up and down lazima utolewe sokoni
- Kutokuweka sehemu sahihi stop loss, hivyo inaondolewa mara kwa mara.

FX haina tatizo, Tatizo liko kwetu retail traders
Nitakutafuta nikiwa tayari
 
Hii ni point ya msingi sana.

Mfano trader anaye anza akiweza kuikuza mara tatu starting balance, basi atakuwa ameelewa nini anachokifanya.

Huwa nawashauri waanze na kiasi kisichozidi US $50.
Ukiwa MTU wa kuhama hama nchi hasa hz za ki afrika ,fx unaweza kuifanya kwa ufanisi? Kwa maana ya kudeposit ,kudraw na vitu km hivyo
 
Nitahitaji contact zako ili tufanye mawasiliano unipe darasa kwa ujumla
https://bit.ly/2MzInU3 Nimeweka hapo, Post no.3

----------------------------------------------------------------
emoji778.png

NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0768 92 48 41
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp (only): +255 784 496 856

emoji778.png

MUDA WA KUWASILIANA NAMI - Wakati Wowote

1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
 
umenena kweli,hawa mabroker ukishadeposit pesa yako, kupata faida ni kimbembe kweli kweli, watafanya wawezalo kukupa loss... kuna muda hata option ya kuclose trade wanaisuspend kwa muda ili tu upate loss...Kupata faida ni ngumu mno
Kwanini uppate shida ya kuclose order manual?? kwanini usiset stop losses na profit target kabla hujaexcute trade, au ndo wale mnasoma buy low and sell high alafu unarukia live trading.?
 
Kwanini uppate shida ya kuclose order manual?? kwanini usiset stop losses na profit target kabla hujaexcute trade, au ndo wale mnasoma buy low and sell high alafu unarukia live trading.?
kuna kitu kinaitwa naked forex unajua maana yake?. au ukifanya scalping kuna haja ya stop loss na take prpfit?. Kuna muda umeshaingiza profitna unaona kuna dalili ya chart kureverse unaamua ku klose trade kabla haijafikia take profit
 
Naked forex haimaanishi unaplace order bila stops and targets, naked siyo lazima iwe scalping ,inaweza kuwa swing trade, position ,medium term trade etc. ila Naked ni clean chart yenye support, resistance,trendlines, supply and demands,200MA(hii EMA ni confluence tu, cyo part ya naked)
 
cha muhimu ni kuwa makini wakati wa kuchagua broker, kuna wachache ni wazuri, halafu, usithubutu kudeposit amount kubwa unapoanza, anza na kiasi kidogo tu ili uzoee maumivu ya kuchoma account

Mkuu, Kama hujali hebu waweke hapa hao brokers wazuri
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom