Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
CIFX Hapatikani tena, nahisi amefunga biashara[emoji25][emoji25][emoji25]

Noma sana kwa wale walikuwa na mafungu ya kutosha kwa akaunt zao..
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Mfano ukifungua demo acc. Unapewa kias fulan cha dollars.. Sasa ili upate profit kupitia zile dollars game linaendaje aisee? Ufafanuz tafadhar
Pia kwann kila pair inakua na value mbil mfano. Look below ths picture
 
Kwa kukusaidia tu ingia hii website www.babypips.com upate nondo zaidi za forex maana unaonekana umedandia treni ya mwendo kasi kwa mbele. Soma kwanza upate basics ndio uingie kwenye kutrade kwenye demo huku ukiendelea kusoma zaidi na zaidi. Hii biashara bila kusoma utakuwa unapoteza tu muda wako na hutaiweza huo ndio ukweli japo ni mchungu! Pili usiwe na tamaa ya kupata hela haraka utaishia kukata tamaa mapeeema maana hii biashara kama huna elimu ya kutosha ya kutrade hasara nje nje kwa wingi!
 
Je, waweza tumia airtelmoney au halopesa?
 
Mfano ukifungua demo acc. Unapewa kias fulan cha dollars.. Sasa ili upate profit kupitia zile dollars game linaendaje aisee? Ufafanuz tafadhar
Pia kwann kila pair inakua na value mbil mfano. Look below ths pictureView attachment 924337
Pia unaweza ingia YouTube kwenye Chanel ya scalp kings fx.

Hapo utajifunza basics kwa urahisi sana tena kwa kiswahili.
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
HIGHEST PEAK BILLIONAIRES (T.L STRATEGY) [emoji409][emoji410]
We provide free setups and signal by using our major killer strategy.
More setups,pips 2000 per week hit me @JohnsonMFx
HIGHEST PEAK BILLIONAIRES (T.L STRATEGY)
Follow link to join our free analysis channel
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…