Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue forex imeshawashindawadau mnaboa sasa kila muda promotion achaneni ni link fanyen kazi ya kutrade
CIFX Hapatikani tena, nahisi amefunga biashara[emoji25][emoji25][emoji25]BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.
Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws. Uzuri wa Templer ni minimum deposit, mpaka $1.
Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.
Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.
Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Pia hana commission na swap pia. Anaweza kuwa mzuri sana kwa swingers.
Kwa kukusaidia tu ingia hii website www.babypips.com upate nondo zaidi za forex maana unaonekana umedandia treni ya mwendo kasi kwa mbele. Soma kwanza upate basics ndio uingie kwe
Je, waweza tumia airtelmoney au halopesa?Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.
BAADA YA KUJISAJILI
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
Templer FX Trader
Pia unaweza ingia YouTube kwenye Chanel ya scalp kings fx.Mfano ukifungua demo acc. Unapewa kias fulan cha dollars.. Sasa ili upate profit kupitia zile dollars game linaendaje aisee? Ufafanuz tafadhar
Pia kwann kila pair inakua na value mbil mfano. Look below ths pictureView attachment 924337
Jaribu kusoma vitabu kama forex bibble ,vitakusaidiaMfano ukifungua demo acc. Unapewa kias fulan cha dollars.. Sasa ili upate profit kupitia zile dollars game linaendaje aisee? Ufafanuz tafadhar
Pia kwann kila pair inakua na value mbil mfano. Look below ths pictureView attachment 924337
Poa nduguPia unaweza ingia YouTube kwenye Chanel ya scalp kings fx.
Hapo utajifunza basics kwa urahisi sana tena kwa kiswahili.
Tumia voda ni fasta sana mkuuJe, waweza tumia airtelmoney au halopesa?
Ugumu wake ninihii biashara ngumu sanaa
Haha Ukisell kitu kinapaa ukibuy kitu kinadondoka hatariUgumu wake nini
Tafuta strategy moja, itumie hyo mpaka itakapokuwa imeanza kukuboa, hapo ndo utajua uko vizuri...Haha Ukisell kitu kinapaa ukibuy kitu kingdoms oka hatari
Ndio hiyohiyo inanifanya hivyo hahaTafuta strategy moja, itumie hyo mpaka itakapokuwa imeanza kukuboa, hapo ndo utajua uko vizuri...
Huwez pata shida...
Watumia strategy ganNdio hiyohiyo inanifanya hivyo haha