Entrepreneur95
Member
- Sep 6, 2018
- 43
- 49
Admin naomba msifute huu uzi, kwani uzi wangu wa mwanzo mliufuta, baada ya kuona hali ya maisha kuwa ngumu na hakuna ajira, nimeona nianze kujiajiri kwenye FOREX, ila sifahamu chochote kuhusu hii Forex, ndio maana nikasema nataka niende nikasomee kwa ONTARIO, hivyo basi kwa wale wazoefu wa FOREX mnanishauri vipi, maana siku zote usiingie kwenye kitu fulani kichwa kichwa tu, kwanza kusanya taarifa za kutosha ndio ufanye maaamuzi.