Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Admin naomba msifute huu uzi, kwani uzi wangu wa mwanzo mliufuta, baada ya kuona hali ya maisha kuwa ngumu na hakuna ajira, nimeona nianze kujiajiri kwenye FOREX, ila sifahamu chochote kuhusu hii Forex, ndio maana nikasema nataka niende nikasomee kwa ONTARIO, hivyo basi kwa wale wazoefu wa FOREX mnanishauri vipi, maana siku zote usiingie kwenye kitu fulani kichwa kichwa tu, kwanza kusanya taarifa za kutosha ndio ufanye maaamuzi.
 
Sijui kama nimekusoma vizuri ila ni kama nimeona umesema “nilitaka niende nikasomee kwa ONTARIO"...Dude,unajipenda kweli wewe?search thread zinazomzungumzia huyo mwalimu wenu wa kufikirika alichowafanyia waliokuwa wanafunzi wake kisha urudi hapa.

Naamini akili itakuwa imeshakukaa sawa!
 
Ukienda huko na vijihela vyako vya mawazo, unaweza kufa kwa presha. Forex trading ni fani kama zilivyo nyingine na sio kitu cha kukimbilia kujiokoa kiuchumi fastafasta baada ya vyuma kutight. Subiri waliokwenda huko watakuja kukupa experience yao
 
MT4 ku_freeze hasa wakati wa news hutokana na low liquidity,
Pili miundombinu mibovu ya broker husika.
Hivyo kitu muhimu cha kwanza ni kupata broker sahihi, mwenye track record nzuri.

Nilichojifunza hadi sasa, tatizo liko kwetu traders kutokuwa na subira, ndicho kinachotumaliza.
Unapo ona trading opportunity inatakiwa ujilizishe kwa kusubiri angalau H1 candle iweze kufunga, Pili kutumia Tight stop loss ni kipengele kingine kinachotumaliza, yaani
- Entry sio sahihi,
- Pili Stop loss too tight - Hivyo market inapo_swing up and down lazima utolewe sokoni
- Kutokuweka sehemu sahihi stop loss, hivyo inaondolewa mara kwa mara.

FX haina tatizo, Tatizo liko kwetu retail traders
Mkuu jingalao anatuhuma zako kule jukwaa la siasa....hujatokea
 
IMG_2182.JPG

Sorry kwa image mbaya ..ila huna tofauti na betting
 
Mkuu jingalao anatuhuma zako kule jukwaa la siasa....hujatokea
Mwl.RCT Mbona huwafundishi wakulima vijana kuuza korosho online?

Kipengele husika ni hiki.
Ujumbe huu unaelekezwa kwa makundi mawili au manne kwa kuanzia .

1-Kundi la vijana wadogo wenye uwezo na hamasa ya kutumia mitandao ya kijamii kufanya manunuzi online.
Najiuliza kundi hili kazi yake ni kununua tu halijui kuuza ?naamini likiamua linaweza kuuza korosho online.
Hapa ndipo ninapomtaka @Mwl.RCT na wataalamu wengi wa biashara ya mtandaoni kuja na thread zilizoshiba kuhusu mauzo ya korosho online.
"hujatokea"
Nimeona bandiko muda mchache uliopita.
Nitarejea
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Back
Top Bottom