Entrepreneur95
Member
- Sep 6, 2018
- 43
- 49
Duh...
noma sana etiEnterprenuer95 halafu unatafuta ajira. Noma sana.
Acha kutisha watu labda la kwanza tu ndo sahihi...mengine ni story tu....forex ni uvumilivu,right mind(psychology) na kusoma(skills)forex is not a get rich quick program
forex is not for unemployed
forex is not for the poor
Mkuu jingalao anatuhuma zako kule jukwaa la siasa....hujatokeaMT4 ku_freeze hasa wakati wa news hutokana na low liquidity,
Pili miundombinu mibovu ya broker husika.
Hivyo kitu muhimu cha kwanza ni kupata broker sahihi, mwenye track record nzuri.
Nilichojifunza hadi sasa, tatizo liko kwetu traders kutokuwa na subira, ndicho kinachotumaliza.
Unapo ona trading opportunity inatakiwa ujilizishe kwa kusubiri angalau H1 candle iweze kufunga, Pili kutumia Tight stop loss ni kipengele kingine kinachotumaliza, yaani
- Entry sio sahihi,
- Pili Stop loss too tight - Hivyo market inapo_swing up and down lazima utolewe sokoni
- Kutokuweka sehemu sahihi stop loss, hivyo inaondolewa mara kwa mara.
FX haina tatizo, Tatizo liko kwetu retail traders
Mwl.RCT Mbona huwafundishi wakulima vijana kuuza korosho online?Mkuu jingalao anatuhuma zako kule jukwaa la siasa....hujatokea
"hujatokea"Ujumbe huu unaelekezwa kwa makundi mawili au manne kwa kuanzia .
1-Kundi la vijana wadogo wenye uwezo na hamasa ya kutumia mitandao ya kijamii kufanya manunuzi online.
Najiuliza kundi hili kazi yake ni kununua tu halijui kuuza ?naamini likiamua linaweza kuuza korosho online.
Hapa ndipo ninapomtaka @Mwl.RCT na wataalamu wengi wa biashara ya mtandaoni kuja na thread zilizoshiba kuhusu mauzo ya korosho online.