Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kutoa hapana, ila kudeposit. Zile cards zakaa 6mnths kabla hazijaexpire, so nadhan itakuwa possible kutoa.

Skrill unadeposit kupitia bank. Na kama una visa/master card unaweza verify kwa templer ukawa watoa kutoka skrill kwenda templer, then mpesa
Okay sawa,naona bora nitumie means ya skrill kwa huyu broker wao fxtm..
 
Then nice,I have been thinking..kama skrill ni wallet,haiwezekani kudeposit skrill kupitia mpesa master card??what do you Think??
I think it's possible. Hata kuna mtu nlimwambia afanye hvyo. Ckucheck kama alifanikiwa au la
 
cha mhimu wote ambao tunataka kutumia skrill cha mhimu Fanya full verification kwanza kabla ya kudeposite pesa isije ikapiggwa pin baada mihamala kadhaa kufanyika
 
Ufafanuz kuhusu skrill na huyo blocker Fxtm...tofaut yake na templer maana mi naona templer unaeza deposit hta 1$
vp kuhusu hyo mwngne? How is he doing the trade
 
Ni kweli kusoma vitabu sio suruhisho la kujua Forex Trading, inakubidi utengeneze strategy yako ukiwa ktk demo kisha ndio uitumie ktk live trading, ujitume na ujue kila session ina tabia zipi na pair ipi ina tabia gani mda wa trading hivyo itakurahisishia kujua trading vizuri na sio kutanga tanga. Walio wengi watapenda wakufundishe zile mbinu zao zao ilaukijituma ukawa mzuri wa kudadisi utaelewa wapi uanzie ili kusudi ukikutana na mtu wa kukupa mbinu zake utaunga na zile zako ili ufike mbali. Vitabu ni vingi, kila mtu kaandika lake na ana mbinu zake, binafsi nimekusanya vitabu vipatavyo 180. Ila ktk kuongea na mtu m1 alinambia inabidi ujueprice action ndio msingi wa forex, alinidai nimlipe kiasi kadhaaambacho kwa mda huu sio rahisi mie kukipata. Nilishukuru kwa kunitajia neno "PRICE ACTION" wengi watapenda kukwambia Forex ni hivi na vile ila vitabu vyenye madini husika hawataki kusema. Baada ya hilo nilitafuta kitabu vitabu vya PRICE action vikatimia 18, niliona kazi itakuwa ngumu japokuwa napenda kusoma vitabu ili khali mpaka mda huo kabla ya kufatilia story behind price action nilikuwa nimemaliza kusoma Forex Bible, nikaongezea vitabu vingine 3 ambavyo vyote vinaelezea mbinu.

Mwisho wa siku graph yangu ilijaa uchafu mwingi, nilichokuja kugunduakila mwandisi alikuwa akisema nakupa mbinu zangu ili uzijaribu kama zitakufaa uziongeze kwako pia. Ndipo nikajua hapa inatakiwa mtu uwe na system yako tayari.

With no fear nilisema nitaanza kuhumu kitabu kwa kava yake japo ni kosa, Mungu si mchoyo alinijaalia kukipata kitabu ambacho ndicho kimekuwa mwanga wa Forex ili hata nikiamua kukutana na mentor yeyote yule sitakuwa gizani ama hatonitoa from zero to hero.

KABLA YA HAYO YOTE: Ni kuwa niliweza kuzifahamu candlesticks karibia zote, nilfanya uamuzi wa kutoa uchafu wote indicators nikaanza demo kwa $25 ambazo nili-blow account 3 kwa kuzijaribu candlestick kama ni kweli zinasema ukweli 😀😀😀
Baadae niliamua kuacha kuzijaribu nimeamini hazidanganyi, japo kuna watu nyuma ya uwepo wa hizo candlestick nikafungua demo nyingine na kuanzia $25 ambazo niliweka malengo ya kupata $5 kila siku, niliweza kufanya hivyo na kufanikiwa kupata faida

Day 1: $11.88
Day 2: $15.04
Day 3: $26

Hapo mtaji wangu ulikuwa na kuamua kuongeza dau la lot size kwa kanuni niliyojitungia mwenyewe, usiku wa siku ya 4 yaani saa 7 za kiTZ nilifanya trading za currency pair 1 tu kwa position 2 tofauti na kuweka TP (take profit) nilipitiwa na usingizi ki-ukweli nikashtuka saa 11 nikakuta zimeingia $64 hiyo ni siku ya 4 alfajiri hapo ndipo nilipata kuongeza tena lot size yangu kwa kanuni yangu mwenyewe sio ya kwenye vitabu, nilisaka currency pair inayochangamka nikazisoma candlestick zisizodanganya mara nyingi kiukweli kama ni live akaunti nilifanya overtrading na kupata $200 jumla nikawa na faida ya jumla ya $286, nikabaki na currency pair hiyo hiyo ikaleta viashiria vya soko kubadili kuelekeo nikaingia mzigoni nikaingia muamala zikasoma mpaka $212 faida ikiwa ningefunga faida ningekuwa na jumla ya $498 kama faida ya siku ya 4 na ilikuwa ni Asia session tu kabla ya London, zilionekana candles za reversal kwa kuwa ni demo candles zikaanza kubadilika taratibu mapa faida ikaja kwenye $150 kwa position ile, nikawa makini kuziangalia zile candlesticks nikaziona kuwa ni ishara ya trend kubadili uelekeo ila nilipuuza tena mwisho akaunti ikaenda na maji, kumbuka mtaji wangu ulikuwa tayari umefikia $365 kabla ya ile 212, nilifunguademo nyingine ambayo niliikuza hadi $989, mwisho niliamua kurudi ktk zoezi langu la mtaji naotegemea kuanza nao ila mwisho wa siku nikawa na uchu, ulafi na upuuzi ambao umezungumziwa ktk vitabu mara nyingi, ila kiujumla akaunti nazikuza zote.

Baada ya historia hiyo fupi ni kwamba nilijiona nimejua ninao uwezo wa kufungua live iwapo ningepata hela, rafiki yangu alienishawishi kusoma forex alinikatalia, nikameshimu na kuanza kusoma ila sikupata kitabu gani nisome maana nina vitabu vingi, mwisho ndipo nikapata kitabu kama nilivyosema awali nilihukumu kwa kava, nikavutiwa na The Candlestick Trading Bible ambacho unaweza kukipakua hapa THE CANDLESTICK TRADING BIBLE.pdf kinaelezea Price action, nimeona ndi msaada wangu hicho kitabu hivyo nimeona wengi wetu tunakwamishwa na kipato japo sijaanza live ila nafsi inanisuta kwa kutoshare kile nilichogundua.

Nia yangu:- Tusiwe wavivu kusoma, tusiwe wachoyo kuelekezana wapi tuanzie ili mtu ajihukumu badala ya kutanguliza hela mbele, mpe mtu materials wapi aanzie kusudi yeye aamue 1 kujisomea alone ama alipe ada. Mentor atabaki pale pale usije jidanganya, game la forex alone hutoboi.

Nyongeza ni hii telegram channel yenye vitabu vingi kuhusu masuala ya hela n.k Traders Library huenda mtu alishai-share nami naikazia. Nitaleta mrejesho mafanikio yangu nitakapoanza live, kwa sasa naendlea na demo niive vizuri 😎😎😎
 
Ufafanuz kuhusu skrill na huyo blocker Fxtm...tofaut yake na templer maana mi naona templer unaeza deposit hta 1$
vp kuhusu hyo mwngne? How is he doing the trade
Fxtm inategemea aina ya account utakayochagua kuna ambazo zina limit na zingine hazina limit kwa sie wabongo
 
Hapana mkuu, ila kuna jamaa yangu kaitumia jana na amefanikiwa kudeposit kwa broker.

Mimi binafsi huwa natumia skrill.
Huyu skill mbna kama anagoma kutuma pesa fxtm, kuna message inakuja kwamba funds haziwez tumika cjui...hw dd you go about it?
 
HAIWEZEKANI HELA YA MASTERCARD KUTOKA MPESA IENDE KWA BROKER. [. QUOTE="AMLIGHT, post: 29226203, member: 185932"]I think it's possible. Hata kuna mtu nlimwambia afanye hvyo. Ckucheck kama alifanikiwa au la[/QUOTE]
 
Kama kuna mtu amefanikiwa kudeposit fxtm kwa kupitia skrill maelekezo please!
Mimi nimedeposit.
Fungua Fxtm
Nenda deposit account,
Chagua akaunt ya kufund (iwe ile trading account, co wallets)
Chagua njia ya kufund iwe skril
Jaza amount,
Accept,
Itafungua web ya skrill,
Jaza email unayotumia skrill na password,
Then binya pay.


Kumbuka kama fxtm wana makato kidogo kudeposit kwa skrill, ni nzuri salio la skrill liwe walau $105 kama wataka kuweka $100
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom