Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
HAIWEZEKANI HELA YA MASTERCARD KUTOKA MPESA IENDE KWA BROKER. [. QUOTE="AMLIGHT, post: 29226203, member: 185932"]I think it's possible. Hata kuna mtu nlimwambia afanye hvyo. Ckucheck kama alifanikiwa au la
[/QUOTE]Inawezekana kwa brokers wanaotumia mastercard direct kufund.
 
Yes nimefanya hvyo bro, inasema funds zilizokuwa deposited kwa mastercards haziwez tumika kufanya merchant payments
Yan pesa uliyoweka kwa skrill kupitia voda mastercard haiwezi kwenda fxtm?
 
Nimekusoma, tatzo kuna hii 'funds deposited by MasterCard can only be used for money transfer and prepaid cards' hairuhusu kulipa kwenye merchant sites kma fxtm
 
Nimekusoma, tatzo kuna hii 'funds deposited by MasterCard can only be used for money transfer and prepaid cards' hairuhusu kulipa kwenye merchant sites kma fxtm
Hapo umekwama mkuu, ila unaweza irudisha kwa mastercard then ukampa mwenye skrill akaweka kwake, then akakutumia wewe ukafund huko. Japo hapo makato yatakuwa mengi sana.
 
Hapo umekwama mkuu, ila unaweza irudisha kwa mastercard then ukampa mwenye skrill akaweka kwake, then akakutumia wewe ukafund huko. Japo hapo makato yatakuwa mengi sana.
Hakuna namna, waswahili wanasema mtaka cha uvunguni........
 
Hiv kunatofaut gn kama uki open position nyng ukatrade kwa small amount each.
na uka open position moja tu kwa big amount
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Mzee unakera na link zako kila baada ya page moja unatuma link za affilitate.. 🤔🤔
 
Hbr zenu wakuu,

Mtu yeyote ambaye ana audio version ya BTMM videos au anajua namna ya kufanya conversion, naomba anisaidie sana..!

I humbly submit.
 
Alafu we kafala ww utakua kashoga na vilink vyako kupend mteremko
 
Hapa kama una mpango wa withdraw haraka lakini kama ni long terms haina shida

Ukideposit kwa first MasterCard utatolea halo hapo within a certain time Luna brokers wame limit only in 60 days mfano pepperstone wemgine hawana limitation wanataka tu only first withdraw iwe through the first way u have used to deposit

Baada ya hapo utatoa kwa njia yeyote so ni uamuzi tu.
Mabroker wengi hata huyu fxtm analazimisha kwamba njia uliyotumia kufund lazima itumike hiyohiyo kwa first withdrawal... Mpesa master card inaexpire ndani ya mwezi mmoja sasa itakuwaje au hiyo target yao itafika ndani ya mwezi?
 
Hata mimi nimezungumzia first withdrawal boss. Hiyo target ya 10000$ ni miezi minne na card inaexpire ndani ya mwezi je wataruhusu kutoa hela ndani ya mwezi? Hata hivyo hii hoja haina mashiko tena maana wamesema validity ya card imekuwa extended to six months
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…