Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naomben kueleweshwa kuhusu timezone kwa hapa bongo,yaan ikiwa Asia session inaanza muda gan kwa bongo na nyingine,pia ni session IPI IPO vizuri kutrade iliyochangamka
 
nenda google tafuta forex maket time converter khusu muda sahihi upo ila asia season si nzuri na pia kutrade muda kidogo kabla ya season flan kua open nayo ni high risky
 
Naomben kueleweshwa kuhusu timezone kwa hapa bongo,yaan ikiwa Asia session inaanza muda gan kwa bongo na nyingine,pia ni session IPI IPO vizuri kutrade iliyochangamka
IMG_20181123_162822_386.jpeg
 
Naomben kueleweshwa kuhusu timezone kwa hapa bongo,yaan ikiwa Asia session inaanza muda gan kwa bongo na nyingine,pia ni session IPI IPO vizuri kutrade iliyochangamka

Tumia hii website, fanya utafiti mwenyewe ujue ni mda upi biashara inachangamka ili ukifungua ku-analyze ukaona soko limelala unafanya mambo mengine huku ukiwasubiria big boys waje kazini nawe uwaunge mikono Live Trading Hours monitor (Trading Sessions)

Ukisema mtu akwambie mda upi u-trade utakalili findings zake. Kwa mimi kama soko liko kimya nasubiri upepo wa matajiri dk 15 baada ya overlapping, kama lilikuwa kazini mara nyingi nimepata profit ya malengo yangu ya siku ama hata kama haijatimia na sina uhakika na upande niliko nachukua profit 30/20mins before another session opening. Kuna currency ambazo kabla ya session kufungwa wale maboss huwa wanachukua faida ama wanaweka order zao kubwa, hivyo ni vyema usome psychology mwenyewe kwa kutumia demo huku ukitumia demo mpaka utakapothibitisha setup yako inakuletea faida. Mwisho tumia Forex Calendar @ Forex Factory usije trade currency ambayo itakuwa na news siku hiyo, ktk hiyo calendar kuna sehemu bofya ili wakuoneshe kwa mda wako halisia. Ni hayo tu mkuu
 
La msingi pia ni kujaribu kufanya majaribio ya makusudi juu hayo niliyoyasema ili uone kama ni kweli ama la, bila kujifunza kupitia makosa utajiamini sana.
 
Tumia hii website, fanya utafiti mwenyewe ujue ni mda upi biashara inachangamka ili ukifungua ku-analyze ukaona soko limelala unafanya mambo mengine huku ukiwasubiria big boys waje kazini nawe uwaunge mikono Live Trading Hours monitor (Trading Sessions)

Ukisema mtu akwambie mda upi u-trade utakalili findings zake. Kwa mimi kama soko liko kimya nasubiri upepo wa matajiri dk 15 baada ya overlapping, kama lilikuwa kazini mara nyingi nimepata profit ya malengo yangu ya siku ama hata kama haijatimia na sina uhakika na upande niliko nachukua profit 30/20mins before another session opening. Kuna currency ambazo kabla ya session kufungwa wale maboss huwa wanachukua faida ama wanaweka order zao kubwa, hivyo ni vyema usome psychology mwenyewe kwa kutumia demo huku ukitumia demo mpaka utakapothibitisha setup yako inakuletea faida. Mwisho tumia Forex Calendar @ Forex Factory usije trade currency ambayo itakuwa na news siku hiyo, ktk hiyo calendar kuna sehemu bofya ili wakuoneshe kwa mda wako halisia. Ni hayo tu mkuu
Shukrani mkuu nmepata mwanga mi bado nko na demo cjaanza live
 
Samahan mkuu mi ni new member Jf cjui at a kutumia pm,nlikuwa naingia km guest jf mda mref
Haha kwa hiyo umeamua ipite tu kwa kuwa hujui kutumia pm? Kwani unadhani kuna mtu alijiunga Jf akiwa tayari anajua kutumia pm?
 
Unatumia browser au App? Ukilog in tu jf pale juu kuna kibahasha utafungua hapo kisha utaenda new pm andika jina la unaetaka kumtumia. Njia nyingine rahisi click id ya huyo mdau aliyekwambia uende pm itakupeleka moja kwa moja kwenye profile yake we nenda sehemu ya 'message'
Siyo kupita mkuu,nmejaribu kutuma msg ikakataa kwenda,ingekuwa uungwana mnganielekeza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom