Skorondinga
Member
- Nov 19, 2018
- 20
- 8
Naomben kueleweshwa kuhusu timezone kwa hapa bongo,yaan ikiwa Asia session inaanza muda gan kwa bongo na nyingine,pia ni session IPI IPO vizuri kutrade iliyochangamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda google tafuta forex maket time converter khusu muda sahihi upo ila asia season si nzuri na pia kutrade muda kidogo kabla ya season flan kua open nayo ni high riskyNaomben kueleweshwa kuhusu timezone kwa hapa bongo,yaan ikiwa Asia session inaanza muda gan kwa bongo na nyingine,pia ni session IPI IPO vizuri kutrade iliyochangamka
Naomben kueleweshwa kuhusu timezone kwa hapa bongo,yaan ikiwa Asia session inaanza muda gan kwa bongo na nyingine,pia ni session IPI IPO vizuri kutrade iliyochangamka
Naomben kueleweshwa kuhusu timezone kwa hapa bongo,yaan ikiwa Asia session inaanza muda gan kwa bongo na nyingine,pia ni session IPI IPO vizuri kutrade iliyochangamka
Tumia hii website, fanya utafiti mwenyewe ujue ni mda upi biashara inachangamka ili ukifungua ku-analyze ukaona soko limelala unafanya mambo mengine huku ukiwasubiria big boys waje kazini nawe uwaunge mikono Live Trading Hours monitor (Trading Sessions)
Ukisema mtu akwambie mda upi u-trade utakalili findings zake. Kwa mimi kama soko liko kimya nasubiri upepo wa matajiri dk 15 baada ya overlapping, kama lilikuwa kazini mara nyingi nimepata profit ya malengo yangu ya siku ama hata kama haijatimia na sina uhakika na upande niliko nachukua profit 30/20mins before another session opening. Kuna currency ambazo kabla ya session kufungwa wale maboss huwa wanachukua faida ama wanaweka order zao kubwa, hivyo ni vyema usome psychology mwenyewe kwa kutumia demo huku ukitumia demo mpaka utakapothibitisha setup yako inakuletea faida. Mwisho tumia Forex Calendar @ Forex Factory usije trade currency ambayo itakuwa na news siku hiyo, ktk hiyo calendar kuna sehemu bofya ili wakuoneshe kwa mda wako halisia. Ni hayo tu mkuu
Shukrani mkuu nmepata mwanga mi bado nko na demo cjaanza liveTumia hii website, fanya utafiti mwenyewe ujue ni mda upi biashara inachangamka ili ukifungua ku-analyze ukaona soko limelala unafanya mambo mengine huku ukiwasubiria big boys waje kazini nawe uwaunge mikono Live Trading Hours monitor (Trading Sessions)
Ukisema mtu akwambie mda upi u-trade utakalili findings zake. Kwa mimi kama soko liko kimya nasubiri upepo wa matajiri dk 15 baada ya overlapping, kama lilikuwa kazini mara nyingi nimepata profit ya malengo yangu ya siku ama hata kama haijatimia na sina uhakika na upande niliko nachukua profit 30/20mins before another session opening. Kuna currency ambazo kabla ya session kufungwa wale maboss huwa wanachukua faida ama wanaweka order zao kubwa, hivyo ni vyema usome psychology mwenyewe kwa kutumia demo huku ukitumia demo mpaka utakapothibitisha setup yako inakuletea faida. Mwisho tumia Forex Calendar @ Forex Factory usije trade currency ambayo itakuwa na news siku hiyo, ktk hiyo calendar kuna sehemu bofya ili wakuoneshe kwa mda wako halisia. Ni hayo tu mkuu
Pamoja sana[emoji120] [emoji120]nenda google tafuta forex maket time converter khusu muda sahihi upo ila asia season si nzuri na pia kutrade muda kidogo kabla ya season flan kua open nayo ni high risky
Great izo za juu ndo time za wapi,bongo au
Great izo za juu ndo time za wapi,bongo au
Shukrani mkuu nmepata mwanga mi bado nko na demo cjaanza live
Nashukuru mkuuBongo
Samahan mkuu mi ni new member Jf cjui at a kutumia pm,nlikuwa naingia km guest jf mda mrefHata mienipo ktk demo, piga zoezi mkuu. Nicheki PM, maana sina watu wa kupiga nao soga juu ya hili swala
poleSamahan mkuu mi ni new member Jf cjui at a kutumia pm,nlikuwa naingia km guest jf mda mref
Haha kwa hiyo umeamua ipite tu kwa kuwa hujui kutumia pm? Kwani unadhani kuna mtu alijiunga Jf akiwa tayari anajua kutumia pm?Samahan mkuu mi ni new member Jf cjui at a kutumia pm,nlikuwa naingia km guest jf mda mref
Siyo kupita mkuu,nmejaribu kutuma msg ikakataa kwenda,ingekuwa uungwana mnganielekezaHaha kwa hiyo umeamua ipite tu kwa kuwa hujui kutumia pm? Kwani unadhani kuna mtu alijiunga Jf akiwa tayari anajua kutumia pm?
Poa mkuu km hauna msaada zaidi ya hiyo polepole
Siyo kupita mkuu,nmejaribu kutuma msg ikakataa kwenda,ingekuwa uungwana mnganielekeza
Poa mkuu km hauna msaada zaidi ya hiyo pole
Sawa mkuu,natumia app ya simu asante kwa maelekezo ubarikiweAmeona unatoa excuse badala ya kutafuta solution ya tatizo