Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwa wale wenye uelewa mzuri wa biashara hii naona bongo imeanza kushamiri kwa wenye uelewa wa hii kitu pls tupene maujanja na siw tuweze kula henes wikiendi karibuni
 
Hongera kwa kutambua fursa.

Mimi niliijua mwaka jana baada ya kusoma uzi wa Sirjeff hapa jukwaani, sikuchelewa nikaanza kujifunza tokea last September if not August.

Ushauri wangu kwako ni kwamba Forex ni biashara kama vilivyo zingine, ina Principle zake ambazo ni lazima kuzifuata else utaumia.

Hivyo tumia muda wako mwingi kujifunza na uondoe notions zilizopo miongoni mwa wengi kwamba FX is a get rich quick scheme.

Karibu sana
 
Kwa wale wenye uelewa mzuri wa biashara hii naona bongo imeanza kushamiri kwa wenye uelewa wa hii kitu pls tupene maujanja na siw tuweze kula henes wikiendi karibuni
Kama upo Arusha nitafute nikupe elimu ya bure .....
 
Happy trading week
IMG_20181125_102720_966.jpeg
IMG_20181125_102720_960.jpeg
IMG_20181125_102720_967.jpeg
IMG_20181125_102720_961.jpeg
 
Mmmmh hivi inawezekanaje kwa mfano mtu kuipata pesa kizembe kiasi hichoo....
unataka mpaka jasho likutoke kwanza? by the way, bora anayetumia physical energy kuliko hii kitu.... mana inahitaji mental stability ya kutosha, la sivyo unaweza kuta unatukana kwenye daladala hafu watu wakahisi wamepanda daladala na kichaa!😀
 
Hahahaa wanashangaa ulikuwa unatabasamu ghafla unatokwa jasho...kama hujapata ugonjwa wa moyo hapa I guarantee hutopata popote
 
Hahahaa wanashangaa ulikuwa unatabasamu ghafla unatokwa jasho...kama hujapata ugonjwa wa moyo hapa I guarantee hutopata popote
Kwakweli.. Kuna watu wameamriwa na madaktari wao waache kutrade, kwa afya zao wenyewe[emoji1][emoji1][emoji1]
 
KWD - CURRENCY YENYE VALUE KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI.

UMEWAHI kuisikia KWD? Hii ni currency ya Kuwaiti, na yaitwa KUWAITI DINAR. hii ni currecy ambayo HAKUNA currency nyingine inaipita kwa value.

1KWD inazidi $3 za Marekani.
Screenshot_20181129-085454~2.png

na kwa conversation rate ya kawaida, hii inafanya 1KWD kuwa sawa na zaidi kidogo ya 7,500 ya kibongo - mara tatu ya thamani ya dola - kiasi cha kama 2,300 hivi.

KWD TZS.png

FIKIRIA kama wewe ni trader muoga, ambaye kwa siku ukitengeneza $10 zinakutosha, ingekuwa vipi kama hizo dola, zikawa KWD instead? (inakuwa TZS75,000+, badala ya 23,000 hivi)
ni rahisi maana yake, kupiga hela ndefu, kwa muda kidogo.

hiyo inamaanisha nini? NI RAHISI KUPOTEZA PESA NDEFU SANA KWA MUDA KIDOGO, KULIKO ANAYETUMIA USD TRADING ACCOUNTS. (usilisahau hili kamwe)

Are you ready to take the risk? kuna broker mmoja ambaye nimemuona ana KWD Trading Account. lakini tofauti na Templer FX ( https://templerfx.com ) ambaye ana deposit na withdraw kwa Mpesa, huyu hana, njia yake kuu ya deposit ni Skrill, Netteller, na kupitia Cards. Mcheck hapa
KWD Trading Account Broker wakati wa ku create account, unachagua Account currency - KWD

You can check here World's Strongest currency in 2018- Top 20 : Exchange for Best Rates for top 20 strongest currencies in the world. (all rated against USD)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom