Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
hata huko US wapo not for everyone ndo maana unaona wengine hata hawajui neno Fx
 
Habari wakubwa
Kuna kitu nahitaji kujua kuhusu trading forex kama mnavyojua leo market ipo closed kwa weekend.Jana usiku nilifanya trade kwa upande wa EUR/USD na kwa upande wa BTC( bitcoin) then nkachapa usingizi bila kusahau TP na SL nilizingatia kuziweka ila leo asubuhi nmeamka nkamua kuchungulia kwa bahati nzur nmekuta profit znasoma kwa pande zote mbili ila moja(BTC) ilikuwa bado ina trade japo kuwa leo ni weekend na market ipo closed na nyingne(EUR/USD) imegoma kuclose order
Swali langu? Kama market ipo closed je? Kwanin inaendelea kufanya trading????
 
Hizo crypto currencies zina trade hadi wikiendi. Lakini hizo zengine subilia j3 uclose, na ni vyems ufanye hivyo saa sita usiku j2 kuamkia j3
 
kama kuna ambae hana akaunti ya forex na hajui aanzie wapi au hana kitambulisho cha kumuwezesha kufungua akaunt njoo private nikupe deal
 


Broker mbovu huyo, nyie angalieni urahisi wa deposit tu ila huyu jamaa hafai hata 10% kwa upande wangu
 
Broker mbovu huyo, nyie angalieni urahisi wa deposit tu ila huyu jamaa hafai hata 10% kwa upande wangu
Haha ni kweli templer ni mshenzi sana mimi nilijuaga watu wanamsingizia ila ndio hivyo tunakomaa nae tu mpaka kiekeweke
 
Tupe sababu mkuu


Nilikuwa ktk demo, system yake ilitoweka hewani sioni kinachoendelea sokoni takribani dk 15, hiyo imetokea zaidi ya mara 2, unaweka order ya instant excution inachukua mda sana, una-close order na profit inabaki connecting mwisho una-close na loss. Hizo 10% nimempa kwa kuwa ni demo, ingekuwa live nampa -100%
 

mkuu huyu jamaa hafai, achana nae aisee, dah mimi nilishangaa sana kuna siku candles zinachorwa utafikiri ni za stocks πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hahaha ametushika hapo kwenye withdrawal boss yaani hata sim banking haioni ndani kwa templer
mkuu huyu jamaa hafai, achana nae aisee, dah mimi nilishangaa sana kuna siku candles zinachorwa utafikiri ni za stocks πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
I think it's possible. Hata kuna mtu nlimwambia afanye hvyo. Ckucheck kama alifanikiwa au la
Ukideposit skrill kwa mastercard hiyo hela ni kama umetupa... haitokubali kwenda kwa broker.... mimi ni muhanga wa hilo
 
Huyu skill mbna kama anagoma kutuma pesa fxtm, kuna message inakuja kwamba funds haziwez tumika cjui...hw dd you go about it?
Hiyo ni ban kutoka kwa mastercard wenyewe.... hiyo hela ni ya kuitoa tu... hakuna namna
 
Mi najua ni sawa tu
siyo sawa.... zikiwa nyingi in case kama mambo yakienda against unaweza kuclose some of them halafu ukaacha baadhi, ili kuongeza margin level yako.... ikiwa moja stop out ikifika inafungwa yote kama ilivo... kwa kifupi zikiwa nyingi during stop out itafungwa mojamoja... wakati ikiwa moja itafungwa kama ilivo... huoni tatizo hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…