Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha
Utajifunza mpaka kiama mwisho wa unaliwa visenti vyako..Narabuk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajifunza mpaka kiama mwisho wa unaliwa visenti vyako..Narabuk.
Hahahaha Mkuu inawezekana ujue ,hatujui tuRaha ya ngoma ingie ucheze.
Inawezekana mwaka huu tumetengeneza mamilionea kimyakimya. Watu wana'download dolari
Hii Forex trading ni kujipotezea wakati, hamna kitu na nikudanganyana tu ! Wale wakina Antorio wako wapi?Watu huwa wanarusha sana screenshots, sasa watusaidie hesabu ya mwaka mzima. Isije kuwa mtu analiwa mwezi mzima akipata $200 ndio anarusha screenshot.
Last seen january 13 2018.... Sijui jamaa kawapiga wenzake halafu kawatoka moto!!! Ukiona heading isemayo sijui "mabenki hawataki uijue, serikali hawaitaki, sijui mahoteli hawataki..." ujue apo kuna kudanganywa tu!Hii Forex trading ni kujipotezea wakati, hamna kitu na nikudanganyana tu ! Wale wakina Antorio wako wapi?
Kwa hiyo lot live lazima ugongwe kwa pip moja tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndo raha ya demo account, ni blue tu. Sasa trade na/kwa live account uone, ni mwendo wa red tu
View attachment 957039
huo ni uchokozi sasaTunaomba ushuhuda tangu mwaka umeanza mpaka sasa hivi unaisha mmepata $ elfu au laki ngapi net?
Hapana. Mimi nataka kujua tu jinsi inavyolipa. Kama unaweza kutengeneza $1000 kwa siku huku unasip coffee na mimi nijitose. I remember ulikuwa unatafuta kiwanjaaàa kweli inalipa.Mmeanza tena duuh
Sikumbuki kama kuna siku nimewahi kutafuta kiwanja, na hiyo 1000 inategemea na mtaji ulionao na hata kama utapata hiyo kuwa consistent ndio kugumu leo unaweza ukapata hiyo, kesho ukapata chini ya hiyo au zaidi, unaweza usipate kabisa au ukapoteza vilevileHapana. Mimi nataka kujua tu jinsi inavyolipa. Kama unaweza kutengeneza $1000 kwa siku huku unasip coffee na mimi nijitose. I remember ulikuwa unatafuta kiwanjaaàa kweli inalipa.
Hapana. Mimi nataka kujua tu jinsi inavyolipa. Kama unaweza kutengeneza $1000 kwa siku huku unasip coffee na mimi nijitose. I remember ulikuwa unatafuta kiwanjaaàa kweli inalipa.
Asante Kwa maelezo yako mazuri.Sikumbuki kama kuna siku nimewahi kutafuta kiwanja, na hiyo 1000 inategemea na mtaji ulionao na hata kama utapata hiyo kuwa consistent ndio kugumu leo unaweza ukapata hiyo, kesho ukapata chini ya hiyo au zaidi, unaweza usipate kabisa au ukapoteza vilevile
Hahahaha
Nimekumbuka ule Uzi
Uzi ulikuwa unatafuta kiwanjaUzi gani
Mbona mnapenda kunilisha maneno jamani ni wapi niliposema natafuta kiwanja?Uzi ulikuwa unatafuta kiwanja
Itakuwa nilikufananisha.Mbona mnapenda kunilisha maneno jamani ni wapi niliposema natafuta kiwanja?
Naomba unifundishe forexMbona mnapenda kunilisha maneno jamani ni wapi niliposema natafuta kiwanja?
Uzi gani
Uzi ulikuwa unatafuta kiwanja
Mbona mnapenda kunilisha maneno jamani ni wapi niliposema natafuta kiwanja?
Itakuwa nilikufananisha.
.Naomba unifundishe forex
KaribuNaomba unifundishe forex
Asante.Karibu