Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hii Forex trading ni kujipotezea wakati, hamna kitu na nikudanganyana tu ! Wale wakina Antorio wako wapi?
Last seen january 13 2018.... Sijui jamaa kawapiga wenzake halafu kawatoka moto!!! Ukiona heading isemayo sijui "mabenki hawataki uijue, serikali hawaitaki, sijui mahoteli hawataki..." ujue apo kuna kudanganywa tu!
 
Mimi huu uzii ulivoletwaga tu na kichwa changu ninavokijua nikaona heri nikae pembeni.
Sio kila jambo duniani lazima ujaribu. Hekoo kwa waliofanikiwa.
 
Hapana. Mimi nataka kujua tu jinsi inavyolipa. Kama unaweza kutengeneza $1000 kwa siku huku unasip coffee na mimi nijitose. I remember ulikuwa unatafuta kiwanjaaàa kweli inalipa.
Sikumbuki kama kuna siku nimewahi kutafuta kiwanja, na hiyo 1000 inategemea na mtaji ulionao na hata kama utapata hiyo kuwa consistent ndio kugumu leo unaweza ukapata hiyo, kesho ukapata chini ya hiyo au zaidi, unaweza usipate kabisa au ukapoteza vilevile
 
Asante Kwa maelezo yako mazuri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom