Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Yep

Naikumbuka Hiyo conversation!

Imagine I knew of this stuff way back in 2005/06.

Nikaijaribu mwenyewe nione itakavyokua.

Sikuwa impressed hata kidogo.

Nikaachana nayo na nikaendelea na kubeba boksi tu.

Huko ambako haya mambo yalipoanzia [nasadiki ni Marekani] watu walio wengi hawana time nayo kabisa.

Ingekuwa ni rahisi kutengeneza hizo dollar kama ilivyoainishwa humu, basi karibu kila Mmarekani angekuwa ana trade.

Lakini jaribu tu kutembea mitaani halafu uliza tu random people kama wanajua Forex ni nini uone utapata majibu ya aina gani.
hata huko US wapo not for everyone ndo maana unaona wengine hata hawajui neno Fx
Screenshot_2018-12-07-19-18-25.jpg
 
Habari wakubwa
Kuna kitu nahitaji kujua kuhusu trading forex kama mnavyojua leo market ipo closed kwa weekend.Jana usiku nilifanya trade kwa upande wa EUR/USD na kwa upande wa BTC( bitcoin) then nkachapa usingizi bila kusahau TP na SL nilizingatia kuziweka ila leo asubuhi nmeamka nkamua kuchungulia kwa bahati nzur nmekuta profit znasoma kwa pande zote mbili ila moja(BTC) ilikuwa bado ina trade japo kuwa leo ni weekend na market ipo closed na nyingne(EUR/USD) imegoma kuclose order
Swali langu? Kama market ipo closed je? Kwanin inaendelea kufanya trading????
 
Hizo crypto currencies zina trade hadi wikiendi. Lakini hizo zengine subilia j3 uclose, na ni vyems ufanye hivyo saa sita usiku j2 kuamkia j3
 
kama kuna ambae hana akaunti ya forex na hajui aanzie wapi au hana kitambulisho cha kumuwezesha kufungua akaunt njoo private nikupe deal
 
So far kwa experience yangu ya Forex, Templerfx ndie broker ambae anamazingira bora na rahisi ya kutrade forex. Kwani yeye ana ruhusu kuweka na kutoa pesa kwenye trading account yako kirahisi sana kutumia Mpesa, Eazzymoney au card yako ya benki kwa urahisi sana na ndani ya dakika zisizozidi tano unaiona pesa yako.

Pia ana spread ndogo sana ukilinganisha na brokers wengine, na ana instruments nyingi za kutrade kuanzia forex currencies, stocks, indexes, cfd, adi commodities .
Unaweza tumia link hii kujiunga na Templerfx broker.

https://secure.templerfx.com/login/sign_up/111690

Broker mbovu huyo, nyie angalieni urahisi wa deposit tu ila huyu jamaa hafai hata 10% kwa upande wangu
 
Broker mbovu huyo, nyie angalieni urahisi wa deposit tu ila huyu jamaa hafai hata 10% kwa upande wangu
Haha ni kweli templer ni mshenzi sana mimi nilijuaga watu wanamsingizia ila ndio hivyo tunakomaa nae tu mpaka kiekeweke
 
Tupe sababu mkuu

Nilikuwa ktk demo, system yake ilitoweka hewani sioni kinachoendelea sokoni takribani dk 15, hiyo imetokea zaidi ya mara 2, unaweka order ya instant excution inachukua mda sana, una-close order na profit inabaki connecting mwisho una-close na loss. Hizo 10% nimempa kwa kuwa ni demo, ingekuwa live nampa -100%
 
Anamanipulate sana yule kuna siku kulikuwa na news ya CAD candle ilitembea kama pips 100 af ikashuka fasta ikaacha bonge la wick wakati kwa wenzie hakuna kitu kama hicho halafu baada ya kama dk kumi ile candle ikawa haipo aisee nilicheka kwa uchungu siku ile

mkuu huyu jamaa hafai, achana nae aisee, dah mimi nilishangaa sana kuna siku candles zinachorwa utafikiri ni za stocks 😛😛😛
 
Hahaha ametushika hapo kwenye withdrawal boss yaani hata sim banking haioni ndani kwa templer
mkuu huyu jamaa hafai, achana nae aisee, dah mimi nilishangaa sana kuna siku candles zinachorwa utafikiri ni za stocks 😛😛😛
 
I think it's possible. Hata kuna mtu nlimwambia afanye hvyo. Ckucheck kama alifanikiwa au la
Ukideposit skrill kwa mastercard hiyo hela ni kama umetupa... haitokubali kwenda kwa broker.... mimi ni muhanga wa hilo
 
Huyu skill mbna kama anagoma kutuma pesa fxtm, kuna message inakuja kwamba funds haziwez tumika cjui...hw dd you go about it?
Hiyo ni ban kutoka kwa mastercard wenyewe.... hiyo hela ni ya kuitoa tu... hakuna namna
 
Mi najua ni sawa tu
siyo sawa.... zikiwa nyingi in case kama mambo yakienda against unaweza kuclose some of them halafu ukaacha baadhi, ili kuongeza margin level yako.... ikiwa moja stop out ikifika inafungwa yote kama ilivo... kwa kifupi zikiwa nyingi during stop out itafungwa mojamoja... wakati ikiwa moja itafungwa kama ilivo... huoni tatizo hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom