Kwa hiyo baada ya siku 60 unaweza kutolea njia yoyote hata kama hukufanya withdraw ndani ya hizo siku 60?Hapa kama una mpango wa withdraw haraka lakini kama ni long terms haina shida
Ukideposit kwa first MasterCard utatolea halo hapo within a certain time Luna brokers wame limit only in 60 days mfano pepperstone wemgine hawana limitation wanataka tu only first withdraw iwe through the first way u have used to deposit
Baada ya hapo utatoa kwa njia yeyote so ni uamuzi tu.
Hata ukiweka lot moja kubwa unaweza kufunga kidogo kidogo pia sema faida yake hii kwenye kuweka SL na Tp huwezi kuweka tofauti tofautisiyo sawa.... zikiwa nyingi in case kama mambo yakienda against unaweza kuclose some of them halafu ukaacha baadhi, ili kuongeza margin level yako.... ikiwa moja stop out ikifika inafungwa yote kama ilivo... kwa kifupi zikiwa nyingi during stop out itafungwa mojamoja... wakati ikiwa moja itafungwa kama ilivo... huoni tatizo hapo?
templer hana instant execution.... mbna haya mambo yapo wazi???Nilikuwa ktk demo, system yake ilitoweka hewani sioni kinachoendelea sokoni takribani dk 15, hiyo imetokea zaidi ya mara 2, unaweka order ya instant excution inachukua mda sana, una-close order na profit inabaki connecting mwisho una-close na loss. Hizo 10% nimempa kwa kuwa ni demo, ingekuwa live nampa -100%
Heheheh..... ni mwendo wa kupita na sl za watu tu.... tatizo watu wabishi... watu wanaangalia tu urahisi wa kuwithdraw... ila katika... hawafanyi hata research ya mambo mengine...Anamanipulate sana yule kuna siku kulikuwa na news ya CAD candle ilitembea kama pips 100 af ikashuka fasta ikaacha bonge la wick wakati kwa wenzie hakuna kitu kama hicho halafu baada ya kama dk kumi ile candle ikawa haipo aisee nilicheka kwa uchungu siku ile
I think hujanielewa kabisa.... Unakijua ambacho huwa kinatokea kwenye stop out????Hata ukiweka lot moja kubwa unaweza kufunga kidogo kidogo pia sema faida yake hii kwenye kuweka SL na Tp huwezi kuweka tofauti tofauti
niambie lot moja kubwa unafungaje kidogokidogoHata ukiweka lot moja kubwa unaweza kufunga kidogo kidogo pia sema faida yake hii kwenye kuweka SL na Tp huwezi kuweka tofauti tofauti
Ukishachagua close order pale juu pana sehemu ya kubadili lot size kama ilivyo kwenye kuplace order. Kwa maana hiyo kama umetumia let's say 0.1 pale juu itatokea hivyo kwa hiyo wewe utaandika unayotaka kufunga then closeniambie lot moja kubwa unafungaje kidogokidogo
[emoji3][emoji3][emoji3]hiki kitu ni kigeni kwangu aiseee.... labda kama kipo kwenye ctrader ila siyo mt4.... maana hiyo ctrader ndo niliona kwamba mtu anaweza kuongeza size ya position kwenye running trade....Ukishachagua close order pale juu pana sehemu ya kubadili lot size kama ilivyo kwenye kuplace order. Kwa maana hiyo kama umetumia let's say 0.1 pale juu itatokea hivyo kwa hiyo wewe utaandika unayotaka kufunga then close
[emoji3][emoji3][emoji3]hiki kitu ni kigeni kwangu aiseee.... labda kama kipo kwenye ctrader ila siyo mt4.... maana hiyo ctrader ndo niliona kwamba mtu anaweza kuongeza size ya position kwenye running trade....
ila hicho unachosema hakiexist kwenye mt4, hiyo sehemu ya kuandika lot size huwa huwezi kuiedit im sure 100%
Haya haina shida monday siyo mbali? ila nimeongea kitu ambacho nimekiexperience....Boss kitu kama ni kigeni kwako haimaanishi kwamba kitu hicho hakiexist. Na mimi hapa nimezungumzia kufunga na si kuongeza... Unaweza kufungua position ya 0.03 ukafunga 0.02 halafu 0.01 ikaendekea kurun hutaki unaacha. Kama vipi nenda j3 kajaribu hata kwenye demo na ilivyo mjivuni najua hutaleta majibu kwamba ni kweli umeona...mimi niongee kitu ambacho hakipo ili iweje yani kwa faida ya nani?
Utaexperience vipi kitu ambacho hata hujui kama kinaexist boss wanguHaya haina shida monday siyo mbali? ila nimeongea kitu ambacho nimekiexperience....
Duh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop outBoss kitu kama ni kigeni kwako haimaanishi kwamba kitu hicho hakiexist. Na mimi hapa nimezungumzia kufunga na si kuongeza... Unaweza kufungua position ya 0.03 ukafunga 0.02 halafu 0.01 ikaendekea kurun hutaki unaacha. Kama vipi nenda j3 kajaribu hata kwenye demo na ilivyo mjivuni najua hutaleta majibu kwamba ni kweli umeona...mimi niongee kitu ambacho hakipo ili iweje yani kwa faida ya nani?
Ukishachagua close order pale juu pana sehemu ya kubadili lot size kama ilivyo kwenye kuplace order. Kwa maana hiyo kama umetumia let's say 0.1 pale juu itatokea hivyo kwa hiyo wewe utaandika unayotaka kufunga then close
Hiki kitu kipo, fanya tafiti utaonaDuh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali...
Nyie jamaa mnaongelea issue tofauti.Duh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop out
km ni hivo sawa mkuuNyie jamaa mnaongelea issue tofauti.
Wakati wewe wazungumzia stop out,
Mwenzako azungumzia partial profit taking.
And,Yes, partial profit taking is possible. Kama alivyoelezea.
j3 mbali log in demo account yako nenda kwenye cryptos ujaribu naenda kujaribuDuh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop out
broker gani crypto zinatembea weekend???j3 mbali log in demo account yako nenda kwenye cryptos ujaribu naenda kujaribu
It works😂😂 shukran mkuu, had no idea about thatDuh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop out
wotebroker gani crypto zinatembea weekend???
Tunaongelea kitu kimoja kabisa na hiyo partial ndio huyu ndugu yako anasema haiwezekaniNyie jamaa mnaongelea issue tofauti.
Wakati wewe wazungumzia stop out,
Mwenzako azungumzia partial profit taking.
And,Yes, partial profit taking is possible. Kama alivyoelezea.