Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hapa kama una mpango wa withdraw haraka lakini kama ni long terms haina shida

Ukideposit kwa first MasterCard utatolea halo hapo within a certain time Luna brokers wame limit only in 60 days mfano pepperstone wemgine hawana limitation wanataka tu only first withdraw iwe through the first way u have used to deposit

Baada ya hapo utatoa kwa njia yeyote so ni uamuzi tu.
Kwa hiyo baada ya siku 60 unaweza kutolea njia yoyote hata kama hukufanya withdraw ndani ya hizo siku 60?
 
siyo sawa.... zikiwa nyingi in case kama mambo yakienda against unaweza kuclose some of them halafu ukaacha baadhi, ili kuongeza margin level yako.... ikiwa moja stop out ikifika inafungwa yote kama ilivo... kwa kifupi zikiwa nyingi during stop out itafungwa mojamoja... wakati ikiwa moja itafungwa kama ilivo... huoni tatizo hapo?
Hata ukiweka lot moja kubwa unaweza kufunga kidogo kidogo pia sema faida yake hii kwenye kuweka SL na Tp huwezi kuweka tofauti tofauti
 
Nilikuwa ktk demo, system yake ilitoweka hewani sioni kinachoendelea sokoni takribani dk 15, hiyo imetokea zaidi ya mara 2, unaweka order ya instant excution inachukua mda sana, una-close order na profit inabaki connecting mwisho una-close na loss. Hizo 10% nimempa kwa kuwa ni demo, ingekuwa live nampa -100%
templer hana instant execution.... mbna haya mambo yapo wazi???
 
Anamanipulate sana yule kuna siku kulikuwa na news ya CAD candle ilitembea kama pips 100 af ikashuka fasta ikaacha bonge la wick wakati kwa wenzie hakuna kitu kama hicho halafu baada ya kama dk kumi ile candle ikawa haipo aisee nilicheka kwa uchungu siku ile
Heheheh..... ni mwendo wa kupita na sl za watu tu.... tatizo watu wabishi... watu wanaangalia tu urahisi wa kuwithdraw... ila katika... hawafanyi hata research ya mambo mengine...
 
Hata ukiweka lot moja kubwa unaweza kufunga kidogo kidogo pia sema faida yake hii kwenye kuweka SL na Tp huwezi kuweka tofauti tofauti
I think hujanielewa kabisa.... Unakijua ambacho huwa kinatokea kwenye stop out????
 
niambie lot moja kubwa unafungaje kidogokidogo
Ukishachagua close order pale juu pana sehemu ya kubadili lot size kama ilivyo kwenye kuplace order. Kwa maana hiyo kama umetumia let's say 0.1 pale juu itatokea hivyo kwa hiyo wewe utaandika unayotaka kufunga then close
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hiki kitu ni kigeni kwangu aiseee.... labda kama kipo kwenye ctrader ila siyo mt4.... maana hiyo ctrader ndo niliona kwamba mtu anaweza kuongeza size ya position kwenye running trade....

ila hicho unachosema hakiexist kwenye mt4, hiyo sehemu ya kuandika lot size huwa huwezi kuiedit im sure 100%
 
Boss kitu kama ni kigeni kwako haimaanishi kwamba kitu hicho hakiexist. Na mimi hapa nimezungumzia kufunga na si kuongeza... Unaweza kufungua position ya 0.03 ukafunga 0.02 halafu 0.01 ikaendekea kurun hutaki unaacha. Kama vipi nenda j3 kajaribu hata kwenye demo na ilivyo mjivuni najua hutaleta majibu kwamba ni kweli umeona...mimi niongee kitu ambacho hakipo ili iweje yani kwa faida ya nani?

Haya haina shida monday siyo mbali? ila nimeongea kitu ambacho nimekiexperience....
 
Boss kitu kama ni kigeni kwako haimaanishi kwamba kitu hicho hakiexist. Na mimi hapa nimezungumzia kufunga na si kuongeza... Unaweza kufungua position ya 0.03 ukafunga 0.02 halafu 0.01 ikaendekea kurun hutaki unaacha. Kama vipi nenda j3 kajaribu hata kwenye demo na ilivyo mjivuni najua hutaleta majibu kwamba ni kweli umeona...mimi niongee kitu ambacho hakipo ili iweje yani kwa faida ya nani?
Duh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop out
 
Ukishachagua close order pale juu pana sehemu ya kubadili lot size kama ilivyo kwenye kuplace order. Kwa maana hiyo kama umetumia let's say 0.1 pale juu itatokea hivyo kwa hiyo wewe utaandika unayotaka kufunga then close
Duh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali...
Hiki kitu kipo, fanya tafiti utaona

Duh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop out
Nyie jamaa mnaongelea issue tofauti.

Wakati wewe wazungumzia stop out,

Mwenzako azungumzia partial profit taking.

And,Yes, partial profit taking is possible. Kama alivyoelezea.
 
km ni hivo sawa mkuu
 
Duh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop out
j3 mbali log in demo account yako nenda kwenye cryptos ujaribu naenda kujaribu
 
Duh... haya bhana... muda utaongea j3 siyo mbali... ila hicho kitu hakipo... ndo maana nilikuuliza kama unakijua kinachotokea kwenye stop out
It works😂😂 shukran mkuu, had no idea about that
 
Nyie jamaa mnaongelea issue tofauti.

Wakati wewe wazungumzia stop out,

Mwenzako azungumzia partial profit taking.

And,Yes, partial profit taking is possible. Kama alivyoelezea.
Tunaongelea kitu kimoja kabisa na hiyo partial ndio huyu ndugu yako anasema haiwezekani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom