Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Speculation sio sawa na Gambling mkuu.

Speculation inahusisha na analysis za aina mbalimbali.
Gambling haina analysis yoyote. Unabahatisha, ukipata sawa na ukikosa sawa pia.
You Speculate Things which are not known we Unatengeneza Theories Kichwani mwako

Kitu Chochote Kinachosababisha Wewe Kupata au Kupoteza Pesa Kwa Kiingereza huitwa Gambling Kwa Kiswahili Kamali.
 
Reactions: MC7
Shout to Davion Delmonte Jr alitoa intro ya huu uzi,Now ONTARIO umenitoa udenda kabisa nimebakia mdomo wazi kuona hayo mafanikio ya hao uliyowataja na ww ukiwemo!
Yaan huu uzi haujapinda kabisa !
I'M IN
 
Mawasiliano brother
 
Sijawahi kusoma thread fupi hivi chap chap imeisha
Nasubiru darasa lako,maana hapa nilipo mapigo ya moyo yanaenda mbio
Na ili ufanye trading forex unapaswa upambane na hiyo hali vinginevyo utalose, yani unapaswa kuwa na utulivu wa moyo na hisia ile mbaya sana
 
Kama wewe humjui basi usifikiri ndio sote hatumjui,
kinachofanyika hapa ni kulindiana heshima tu, lakini kuhusu suala la utapeli hiko kitu ONTARIO hawezi kukifanya, na sijui ataanzia wapi na atakwenda kujifichia wapi...
Kwahiyo hayo mawazo futa
Yeye anazungumzia mtu mwingine ambaye si Ontario ambaye anaweza kutumia aggressiveness ya members kufanya utapeli. Na si wote tuna mawasiliano na Ontario so tunapaswa kuwa makini na calls tutakazo zipokea au any kind of communication zinazoweza kutuletea majuto baadae. So cha muhimu watu watulie na kusubiri maelekezo yake maana yeye kasema kila kitu ni kwenye huu uzi no PM, fb, calls au vitu vingine maana jamaa kashafanya analysis na kutambua kuna watu wanaweza kuleta ulaghai kwa mgongo wa Ontario na mimi nawashangaa wanaoweka namba zao za simu kwenye huu uzi wakati jamaa kasema no PM, sms wala nini. Yani kila kitu ni hapa hapa na hata akifungua uzi mwingine atatoa alert
 
Biashara hii Nayo haina Tofauti na Hisa na Inahitaji Mtaji Mkubwa let say una $10,000 ukipanda kwa $0.05 ndo unaenda Kuuza unapata faida biashara hii Kama una 1,000,000/= Subiri
Ila yeye mtaalamu ka-recommend $200 kama minimum amount, alafu kuna kitu wanasema "don't trade with the amount of money you are not willing to lose"
 
nilipo soma haya mambo shule (chuo nilikuwa naona nyotanyota tu maaana ni vi-concept vidogo vidogo halafu vilionekana sio halisia maana kwenye financial market ya hapa bongo hii kitu by then haikuwepo na mfumo wake ulikuwa pia haupo kuanzia BOT. kimsingi nilikuwa kama nakalili kufaulu paper na baada ya kuona hapa bongo hayapo nikapotezea kabisa..... sasa nadhan hii opportunity ni nzuri sana angalau nielewe tu basi..


nadhani na soko la hisa linaelekea humo humo
 

Mimi sio mtaalamu ndio kwanza nimeanza kusoma kitabu ila kwenye hili nina mawazo tofauti kidogo

Upo sahihi mkuu lkn Pairs zipo nyingi ukiacha major pairs kuna cross pairs hivyo unaweza kuwa na deals zaidi ya moja ya kukutengenezea $20 kila moja ambayo ukijumlisha unakuta una faida nzuri maana thamani ya currencies zina vary sana against each other.

Halafu pia pips huwa zina vary, unaweza kupata deal yenye pips kubwa ukatoboa
 
Speculation sio sawa na Gambling mkuu.

Speculation inahusisha na analysis za aina mbalimbali.
Gambling haina analysis yoyote. Unabahatisha, ukipata sawa na ukikosa sawa pia.
Technical analysis and fundamental analysis won't guarantee profit.

They may be perfect tools in assisting you to make correct decisions but unfortunately this is not the case all time.

Kwahiyo nayo inaelementi za ubashiri, tena wa kiwango cha juu.
Nielezee kidogo tena.

Ukiangalia kwa undani bila kuwa bias utaona pia speculating is not investing.

Ambapo hapa members wameshaona Fx ni some form of investment for their money.

Watu wanauliza leverage kwenye Fx. Maana yake profit and loss is highly magnified.

And it's very unfortunate that most retail traders lose money.

Ndiyo maana ni volatile market.

Kanuni za economics zinatambua investment kwa sifa zake.

Mosi unapata faida in long term basis (na ikiwa short term inaweza kuwa zaidi ya 3 months strictly speaking). Tofauti na forex ambapo trader anatafuta faida kwa muda mfupi kadiri itawezekana.

Pili katika investment risk ya kupoteza ni chini au non existent. Kwenye forex unatrade on margin basis.

Kwamba risk ni kubwa sana na pia faida ni kubwa sana.

Lakini angalizo muhimu ni kuwa more than 60% wanapoteza. And this is conservative record.

Je hii inaashiria nini?

Kwahizo sifa hapo juu ni safe kusema trading forex is some form of gambling.

What you think?
 
Wanafunzi kama hawa ndio nawataka!! Salute boss!! Kitabu nilichokitoa ni 1 ya vitabu vigumu zaidi kwa ajili ya newbie trader, nikiona mtu kasoma soma na kuelewa napata nguvu sn.
 
mkuu Ontario nakuomba unifafanulie hapa..going long and getting short...
 
Wanafunzi kama hawa ndio nawataka!! Salute boss!! Kitabu nilichokitoa ni 1 ya vitabu vigumu zaidi kwa ajili ya newbie trader, nikiona mtu kasoma soma na kuelewa napata nguvu sn.

Pamoja mkuu, hata nisipo trade nitakuwa nimejiongezea knowledge kitu ambacho ni cha msingi zaidi pengine kuliko margin balance [emoji23]. Kuelewa hizi terms raha sana hasa ukiwa PCM [emoji1]
 
Upo sahihi, mimi nilikuwa namjibu jamaa fulani anasema Ontario anataka kuwa blocker na kwa hiyo losers watamnufaisha yeye ila hilo nimelielewa tokea mwanzo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…