Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
At Least Umeuliza Swali La MsingiMkuu Ontario nielekeze ni shillings ngapi unaanzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At Least Umeuliza Swali La MsingiMkuu Ontario nielekeze ni shillings ngapi unaanzia
You Speculate Things which are not known we Unatengeneza Theories Kichwani mwakoSpeculation sio sawa na Gambling mkuu.
Speculation inahusisha na analysis za aina mbalimbali.
Gambling haina analysis yoyote. Unabahatisha, ukipata sawa na ukikosa sawa pia.
Mawasiliano brotherWazo la pili
Kwasasa huu uzi ndio utakua ukitumika kwaajili ya kila kitu, updates and everything. Mambo yakikamilika I will make a call kwa uzi mwingine hapa hapa JF. Tuweni wavumilivu, I know how much I and my team are fighting to get started. Please kwa wale mnaonifahamu, sitajibu ht hizo text mnazonitumia mara kwa mara FB messenger na IG. Tukiwa tayari, nitatoa details zote na utaratibu, sehemu ya kukutana ni office pekee and not otherwise. Mambo yakikamilika tutaarifiana.
Na ili ufanye trading forex unapaswa upambane na hiyo hali vinginevyo utalose, yani unapaswa kuwa na utulivu wa moyo na hisia ile mbaya sanaSijawahi kusoma thread fupi hivi chap chap imeisha
Nasubiru darasa lako,maana hapa nilipo mapigo ya moyo yanaenda mbio
Yeye anazungumzia mtu mwingine ambaye si Ontario ambaye anaweza kutumia aggressiveness ya members kufanya utapeli. Na si wote tuna mawasiliano na Ontario so tunapaswa kuwa makini na calls tutakazo zipokea au any kind of communication zinazoweza kutuletea majuto baadae. So cha muhimu watu watulie na kusubiri maelekezo yake maana yeye kasema kila kitu ni kwenye huu uzi no PM, fb, calls au vitu vingine maana jamaa kashafanya analysis na kutambua kuna watu wanaweza kuleta ulaghai kwa mgongo wa Ontario na mimi nawashangaa wanaoweka namba zao za simu kwenye huu uzi wakati jamaa kasema no PM, sms wala nini. Yani kila kitu ni hapa hapa na hata akifungua uzi mwingine atatoa alertKama wewe humjui basi usifikiri ndio sote hatumjui,
kinachofanyika hapa ni kulindiana heshima tu, lakini kuhusu suala la utapeli hiko kitu ONTARIO hawezi kukifanya, na sijui ataanzia wapi na atakwenda kujifichia wapi...
Kwahiyo hayo mawazo futa
HapoNaamini hauna uelewa wa nini unafanya mkuu. No disrespect!!
Nieleze maana ya 'leverage' kwenye forex.
Ila yeye mtaalamu ka-recommend $200 kama minimum amount, alafu kuna kitu wanasema "don't trade with the amount of money you are not willing to lose"Biashara hii Nayo haina Tofauti na Hisa na Inahitaji Mtaji Mkubwa let say una $10,000 ukipanda kwa $0.05 ndo unaenda Kuuza unapata faida biashara hii Kama una 1,000,000/= Subiri
Nashauri Muwambie Ukweli Kabisa Watu wanahitaji Milioni Ngapi Watu wako Excited sana wanaona It real deal I'm warning you Guys! Mimi ni mwalimu wa Haiba ya Michezo I have some advise for you.
Siyo Rahisi wewe Kupata Fedha kirahisi Na sh.200,000 yako na Unaweza Ukaliwa pia ukashangaa ipo sh.196,000.
Nashauri kama mna Fedha chache please Fugeni Nguruwe (sorry for Muslims) au Kuku au Unaweza Kufanya Kitu kingine.
Concept yaake ni ya Kawaida Unanunua Pesa ya Kigeni kwa Bei ya Chini na Kuiuza Kwa Bei ya Juu mfano
U$/YEN 1/76.662 Asubuhi
Jioni Unakuta U$/YEN 76.664 hapo siyo lazima jioni Mda wowote ambapo kutakua Kuna Mabadiliko katika Global trade.
Mara nyingi vina badilika hivyo Vipoint vya Mwisho Sasa chukua Calculator 76.654-76.652 hapo Utapata Faida ya $0.002 zidisha Sasa $10,000 (Kiasi Hiki sidhani kama Watu wengi humu wanacho) Hapa ukiuza Utapata faida ya $20 ambayo ni sawa na sh. 44,000 kwa ulivyouza kwa Mtu aliyewekeza kwa $10,000 Sasa Imagine wewe mwenye Mtaji wa sh.1,000,000 uliyefungua Group la WhatsApp tayari ambayo Sawa na $500 Sasa zidisha kwa 0.002 hapo Ujajikuta Unatapa $1 (Toa Pesa ya Kula na Bundle) maana lazima Ukodoe macho. Pia hiyo $ Unaweza Kuipoteza wewe its a win/lose situation Kimsingi
Speculating =Gambling
Mimi si wa Discourage Watu ila Ni vema Kila kitu kikawa Uchi Inspirational Speakers do make things look easier many entered in the game and got fuckedUp!
Nakushauri Vijana wenye pesa ndefu ingieni.
Baadaye Kidogo wakuu!
Technical analysis and fundamental analysis won't guarantee profit.Speculation sio sawa na Gambling mkuu.
Speculation inahusisha na analysis za aina mbalimbali.
Gambling haina analysis yoyote. Unabahatisha, ukipata sawa na ukikosa sawa pia.
Wanafunzi kama hawa ndio nawataka!! Salute boss!! Kitabu nilichokitoa ni 1 ya vitabu vigumu zaidi kwa ajili ya newbie trader, nikiona mtu kasoma soma na kuelewa napata nguvu sn.Mimi sio mtaalamu ndio kwanza nimeanza kusoma kitabu ila kwenye hili nina mawazo tofauti kidogo
Upo sahihi mkuu lkn Pairs zipo nyingi ukiacha major pairs kuna cross pairs hivyo unaweza kuwa na deals zaidi ya moja ya kukutengenezea $20 kila moja ambayo ukijumlisha unakuta una faida nzuri maana thamani ya currencies zina vary sana against each other.
Halafu pia pips huwa zina vary, unaweza kupata deal yenye pips kubwa ukatoboa
Wanafunzi kama hawa ndio nawataka!! Salute boss!! Kitabu nilichokitoa ni 1 ya vitabu vigumu zaidi kwa ajili ya newbie trader, nikiona mtu kasoma soma na kuelewa napata nguvu sn.
Upo sahihi, mimi nilikuwa namjibu jamaa fulani anasema Ontario anataka kuwa blocker na kwa hiyo losers watamnufaisha yeye ila hilo nimelielewa tokea mwanzoAmesema brokers wapo wa aina nyingi ila yeye ameainisa wa aina 2 ambao ni market maker na ECN forex broker.
Market maker hawa sio wazuri kwa sababu kuloose kwako ndiyo gain yake
ECN hawa ndiyo wazuri kwamba kufanikiwa kwako ndo faida kwao,na faida zaidi kwako ndiyo faida lukuki kwao na hawapo tayari wewe upate hasara so watakulinda kivyovyote ili usipate lose....me ndiyo nilivyomuelewa mkuu Ontario.
Tulia kwnz,kunywa maji,nenda taratibu,vitu vizuri havihitaji pupa mkuu.