Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Acha maneno mengi hupati MTU wa kutapeli. Indicator trader wewe
Umejiunga jamii forum tarehe 07.12.2017 umeukuta huu Uzi tumeshausongesha vya kutosha . Muda huo wewe unalinda korosho za Bibi yako namtumbo.

Umepata simu ya tecno ukaweza kudownload mt4 unajiona unajua forex. Nipo kwenye huu Uzi wa Forex kuanzia siku ya kwanza hii ndio misimamo yangu. Sijawahi kutaka hela ya MTU kwasababu nina uwezo wa kuipata sokoni.

Nakuwekea account yangu moja uone nilichovuna last week, Mbuzi wewe. Hiyo hela najua hujawahi kuishika.

Nimetoa muda wangu kukuelimisha wewe kilaza unakuja kusema Mimi natafuta watu hahahaha Jinga sana wewe. Utapeli wangu naufanyia sokoni na sio kwa kapuku kama wewe.
IMG_20181223_201944.jpg
 
Attachments

  • IMG_20181223_201403.jpg
    IMG_20181223_201403.jpg
    28.6 KB · Views: 45
Umejiunga jamii forum tarehe 07.12.2017 umeukuta huu Uzi tumeshausongesha vya kutosha . Muda huo wewe unalinda korosho za Bibi yako namtumbo.

Umepata simu ya tecno ukaweza kudownload mt4 unajiona unajua forex. Nipo kwenye huu Uzi wa Forex kuanzia siku ya kwanza hii ndio misimamo yangu. Sijawahi kutaka hela ya MTU kwasababu nina uwezo wa kuipata sokoni.

Nakuwekea account yangu moja uone nilichovuna last week, Mbuzi wewe. Hiyo hela najua hujawahi kuishika.

Nimetoa muda wangu kukuelimisha wewe kilaza unakuja kusema Mimi natafuta watu hahahaha Jinga sana wewe. Utapeli wangu naufanyia sokoni na sio kwa kapuku kama wewe.View attachment 975639
Ww ni noma sana
 
Sikubaliani na wewe hata kwa 20% ... Mtu Mwenye Mawazo kama yako bado hajaielewa Forex , You better either quit it down or learn more to become Good One.

Kama unakula Pips za kutosha why uwapige watu "Vihela" vya signals. Amini nakwambia kuna watu katika Tanzania hii hii wanapiga hela kimya kimyaaaaaaa na hawajitangazi wala kutoa matangazo ya training. Kuna jamaa namjua kuna mwezi alipiga dola 6000 (Dola ya U.S.A sio Zimbabwe) kwa wiki 3 tu. Na nilitumia mbinu za kijasusi kujua kama kapiga hii amount. Jamaa ni msiri sana. Alilogin in Kwenye Mt4 ya ya simu yangu ili acheki account yake baada ya simu yake kuzingua na alikuwa mbali na PC. Mwisho wa siku alisahau kulog Out. Nikawa nasoma trades zake ni balaa.

So nikuombe spend muda mwingi kuwa mdadisi na kuwa Unique Trader.

hilo nakuunga mkono, wapo wengi wanapiga kimya kimya
 
Umejiunga jamii forum tarehe 07.12.2017 umeukuta huu Uzi tumeshausongesha vya kutosha . Muda huo wewe unalinda korosho za Bibi yako namtumbo.

Umepata simu ya tecno ukaweza kudownload mt4 unajiona unajua forex. Nipo kwenye huu Uzi wa Forex kuanzia siku ya kwanza hii ndio misimamo yangu. Sijawahi kutaka hela ya MTU kwasababu nina uwezo wa kuipata sokoni.

Nakuwekea account yangu moja uone nilichovuna last week, Mbuzi wewe. Hiyo hela najua hujawahi kuishika.

Nimetoa muda wangu kukuelimisha wewe kilaza unakuja kusema Mimi natafuta watu hahahaha Jinga sana wewe. Utapeli wangu naufanyia sokoni na sio kwa kapuku kama wewe.View attachment 975639
Ww endelea kusubiri watu waje inbox kununua vitabu vyako vya kitapeli.

Acha upuuzi.
 
Mkuu najua na ninaamini unaelewa kuwa vitabu vingi vya Forex concepts zao ni kuhusu Resistance, Trendline, Zones, Support n.k.

Nakuomba utafute vitabu vinavyozungumzia Forex kwa utofauti na hizo takataka nimezotaja. Kama Forex ingekuwa ni support na resistance mbona Kuna watu wanachora vizuri hizo S&R na waishia kupigwa kama kawa.

Hivi Pesa imekuwa rahisi kihivyo uchore resistance tu na Pesa ije!! Wake up guys Find knowledge. Eti uchore trendline Pesa ije. Huu ni ukweli ambao nitapingwa humu na kila mtu kwasababu tumelishwa hii sumu kuanzia vitabu na wanaotufundisha.

Mbaya zaidi Mtu akijua kuchora S&R au Trend Line anakuwa Mwalimu. Ni mwendo wa kulishana sumu sumu sumu.

Siri kubwa ninayokupa hakuna successful trader anaefanikiwa kwa kuchora S&R au TL. Huo ni uchuro tu (Samahani kwa kusema lugha mbovu ). Na wengi hawawezi kukupa njia ya mafanikio yao. Ukiwa mdadisi na kuweka akili yako iwe huru kufikiri nje ya box utaelewa na kujua ninachomaanisha.
Acha utapeli.
 
Mkuu unafika mbali. Lakini kama wewe una mbinu za kimafia kwa nini usitudokezee na sisi wenzio? Sisemi ukae utufundishe ila tupe hata hints na sie tupate 2000$ kwa wiki [emoji39][emoji39]
Ukisoma niliyoandika kila kitu kipo bayana. Nimesema soma literatures ambazo zina mafunzo zaidi ya S&R,TL n.k ....
 
Mkuu unafika mbali. Lakini kama wewe una mbinu za kimafia kwa nini usitudokezee na sisi wenzio? Sisemi ukae utufundishe ila tupe hata hints na sie tupate 2000$ kwa wiki [emoji39][emoji39]
Huyu jamaa anataka kutapeli watu maana katika forex usipochora na kutumia horizontal support and resistance au trendline basi ni lazima utatumia indicators ambazo ni sawa na dynamic support and resistance.
 
Utaambiwa umekariri shauri yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom