Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama karne hii kuna watu ambao wanawatumia hela watu wasiowajua
 
Unajua Maana ya Money Markets Mkuu au Ni Moja ya Mbumbu wa huu Upande!
mkuu unaleta ubishi na kufanya kuhamisha mjadala. Fuatilia post zake kwenye uzi huu from page 1 utapata jibu la unachokitaka
 
Naendelea kumalizia kusoma kitabu ulichotoa mkuu ONTARIO , hadi kesho kutwa nitakuwa nimeshakimaliza.
 
mkuu Ontario nakuomba unifafanulie hapa..going long and getting short...

Acha ni practice nilicho soma, nitarekebishwa Kama nimeingia Chaka

Going long (buying pair) ni kununua pair yaani unauza currency iliyo na thamani ndogo (counter currency) na kununua iliyo na thamani kubwa (ambazo mostly ni USD, GBP, EUR) ili baadae thamani yake ikipanda uuze mfano USD/JYN unauza japanese Yen (JYN) ili ununue dola ya kimarekani (USD) uje kuuza baadae ikipanda

Getting short (selling pair) ni kuuza pair yaani unauza currency yenye thamani kubwa(base currency) na kununua currency yenye thamani ndogo kwenye mfano wa wa USD/JYN unauza USD kununua JYN ili JYN ikishuka zaidi utumie hiyohiyo JYN kununua USD Ila kwasababu itakuwa imeshuka thamani Ina maana utapata USD nyingi zaidi ya kile kiasi ulichonunulia JYN kabla JYN haijashuka
 
Mkuu mm


Mkuu hii mm nimecheza demo yake na cash cash

Niliweka dolla 300 nikaliwa zote ndani ya siku mbili..ila mweny demo walinipa dola 1000 mpaka sasa nina dola 2400
Sasa sijui tatizo ni nn

Nacheza kutumia sim na laptop
Duuuh dola 300 tukiibadili kwenye oesa za madafu tunapata karibu laki saba hivi!!

Hukupiga pc ngumi kweli??
 
Kweli kabisa mkuu!! Na hii forex jua wanafanya mabenk...mashirika ya kiserikali and the alike!! Hivyo ndio maisha yanavyosonga mkuu!! Kama unafwatilia utajua kwanini usa na north korea au warusi kila siku wanapigana mikwara!!
 

Umetisha sana kaka, nami nimesoma nimeelewa hivyohivyo.
 
Samahani mkuu Ontario nnaweza vipi,watafautisha waha Broker maana nimepita nimepata Application kweny Android za FXCM na XM sasa sijui hawa wanaangukia Wapi kati ya Hili kundi la Ma-Dalali wazuri na wale wa Hatari..
Kabla huja download hizo apps nini maana ya bullish na bearish??

What do we mean when we say go long and fo short??

Kama hujaweza kujibu bila ku google ungana nasi kwenye kusoma arifu!! Vitabu viko humu tayari!
 
Samahani mkuu Ontario nnaweza vipi,watafautisha waha Broker maana nimepita nimepata Application kweny Android za FXCM na XM sasa sijui hawa wanaangukia Wapi kati ya Hili kundi la Ma-Dalali wazuri na wale wa Hatari..
Kabla huja download hizo apps nini maana ya bullish na bearish??

What do we mean when we say go long and go short??

Kama hujaweza kujibu bila ku google ungana nasi kwenye kusoma arifu!! Vitabu viko humu tayari!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…