STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Sidhani kama karne hii kuna watu ambao wanawatumia hela watu wasiowajuaYeye anazungumzia mtu mwingine ambaye si Ontario ambaye anaweza kutumia aggressiveness ya members kufanya utapeli. Na si wote tuna mawasiliano na Ontario so tunapaswa kuwa makini na calls tutakazo zipokea au any kind of communication zinazoweza kutuletea majuto baadae. So cha muhimu watu watulie na kusubiri maelekezo yake maana yeye kasema kila kitu ni kwenye huu uzi no PM, fb, calls au vitu vingine maana jamaa kashafanya analysis na kutambua kuna watu wanaweza kuleta ulaghai kwa mgongo wa Ontario na mimi nawashangaa wanaoweka namba zao za simu kwenye huu uzi wakati jamaa kasema no PM, sms wala nini. Yani kila kitu ni hapa hapa na hata akifungua uzi mwingine atatoa alert