Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kabla huja download hizo apps nini maana ya bullish na bearish??

What do we mean when we say go long and fo short??

Kama hujaweza kujibu bila ku google ungana nasi kwenye kusoma arifu!! Vitabu viko humu tayari!
Kweli ase maana hivi vitu vinataka utulie usome kuna website natumia nayo ni nzuri Learn Forex Trading With BabyPips.com
 
mkuu Bavaria je unaeza kuimaster hii kitu bila traininh?? kama ndio ebu nifungue kdogo kwa kunipa hints namna ya kuanza ili niielewe vema either through youtube, books or google koz i hope we umejifunza mwenyewe. afu malizia kwa kunambia unae mentor au lah?
 
Placing many deals may lead you lose big time.
Iko hivi

Mfano umeweka $1000 labda unanunua USD 1.423 na kuuza 1.430 hapa broker wako anaweza kukukopesha kwa ratio ya 100:1.

Maana yake sasa unatrade kwa $100,000 na so $1000.
Kumbuka fedha tofauti zina pip movement tofauti. Kwa mfano $10,000 ni $1 (pip).
Sasa kwa mfano deal imeenda vizuri inamaana utapata 10 * 10 au $100
Kumbuka pip ni namba ya mwisho ya currency

Huu ni upande mmoja tu
Upande wa pili ukipoteza labda tuseme value imedondoka toka $1.423 hadi $1.413 inamaana umepoteza $10.
10* $10 ni sawa na $100 ambayo ni loss.

Lakini pia kumbuka broker anakutoza commission na unatakiwa kufidia losses.
Pia it's very unlikely to have consistent wins.
Na ujue tu kuplace deal yenye dau dogo ni hasara in a long run.
Do you have enough dough to put in Forex?

Kwahiyo angalizo langu jifunze pia upande wa loss na uone hatari iliyopo.
I hope this reaches you in good spirit.
 
Michongo kama hii inataka watu smart..kama kichwa yako nyepesi usitie mguu..
 
Okey lets assume natrade na pairkama hii...EUR/USD

Going long: nitanunua euro ikiwa chini na kuiuza soon ikipanda bei!! Hapa nakua naamini kwamba base currency yangu in this case euro itapanda thamani!! Kwa lugha ingine tunasema euro is bullish!!

Like wise, going short ni kwamba

Nakua naamini at some point euro kama base currency yangu itashuka thaman...sasa mimi kama bearish trader nitauza euro ikiwa thaman ya juu na kuinunua tena ikishuka thamani!!

Sijui kama nimeingia chaka ila thats what i understood!!

ONTARIO Bavaria mwongozo tafadhali!!
 
unaanzaje kuingia forex kwa mfano
 

Nashukuru mkuu kwa kupoint the risky side of it, nadhani hata mkuu Ontario pia kasema wazi kuwa risk zipo na akatoa ushuhuda wa kupoteza zaidi ya $10,000.

In the end kila kitu kina risk and most of us we are in the age of taking risks, as long as it's possible to start small let people try huwezi jua mbeleni mtu anaweza kupiga hela ndefu kwenye mishe zake nyingine huku ana uzoefu wa FX akaingiza huko.

Usipo chafuka utajifunzaje? Wahenga walisema
 
Mkuu Ontario alisema ataanzisha training hivyo mimi nasubiri, vitu hivi vinahitaji mentoring sababu huku ukisoma hivi baadae kinajikanganya vile
 
Haya ndiyo mambo niliyokuwa nayatafuta sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
mkuu, i must admit that,my attention is highly drawn on this.please naomba niwe considered as one of your guys. thank you
 

Hapo kwenye short nahisi umekosea

EUR/USD ukienda short kwenye hii pair Ina maana una Amini kuwa USD ambayo no counter currency itazidi kushuka dhidi ya Euro kwahiyo unauza euro ili ununue USD then USD ikizidi kushuka utauza hizo USD ununue euro kwa value ya mwisho ya pair yako

Mfano EUR/USD imeshuka kutoka 1.2345 mpaka 1.2335 Ina maana ukiwa na 10,000 euro wakati value ya pair ni 1.2345 utapata USD 12345 sasa value ya pair ikishuka mpaka 1.2335 ina maana ukiamua kuuza USD zako 12345 Ina maana utapata euro 10,008 (12345/1.2335) kwahiyo unakuwa na faida ya euro 8 kutoka kwenye euro 10,000 ulizokuwa nazo awali

Kifupi going short ni pale unapo nunua counter currencies maana nyingi huwa zinashuka thamani most of the times sababu zinakuwa ni weak currencies

I stand to be corrected
 
Unaona sasa duuh!! Embu ngoja nifungue kitabu tena!
 
Unaona sasa duuh!! Embu ngoja nifungue kitabu tena!

Mimi pia nilikuwa na uelewa Kama wako awali ila Baada ya kusoma mfano wa calculation ya profit for getting short kwa kutumia pips kwenye page 18 ndio nikaelewa vizuri zaidi
 
It is unfortunate that being optimistic won't make things easier for you.

They say if you want to end with $1000 begin with $2000.

Yes you may apply risk management techniques but challenges are still there.

One can be good at technical analysis but political event may ruin your deal unexpectedly.

Well, there's so called Stoploss which is pretty good tool to manage loss. You may find it useful.

Good luck
 
Reactions: A2G
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…