Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Pamoja mkuu

Hii SL nimeiona imekuwa mentioned huko ninapo pitiapitia. Natumaini utaendelea kuwa around katika kutupiga msasa

Binafsi sina mpango wa kutrade hivi karibuni labda Mwakani, kwasasa nimejikuta naenjoy hii knowledge kwahiyo uzoefu wako ni muhimu mkuu
 
Kama ndo ivo nashukuru mkuu umenipa mwanga maana ni concept iliyokua inaniumiza kichwa hebu tusubiri comment ya wakali wa hizi kaz
Cc:Bavaria
 
Mimi pia nilikuwa na uelewa Kama wako awali ila Baada ya kusoma mfano wa calculation ya profit for getting short kwa kutumia pips kwenye page 18 ndio nikaelewa vizuri zaidi
Narudi na mrejesho mkuu! You wait!
 
asante baba..ingekuwa vyema kuuliza ili watu wapate uzoefu zaidi...
 
Inahamasisha sana,wengi watashindwa kufanya sababu lugha labda.
 
Kama hutojali fafanua tena vizuri kuanzia kuanzia going long then going short kwa mfano kama hapo juu mkuu
 
Mkuu A2G

Consider EUR/USD...

The aim is to make profit and to minimize loss!

Now,

Going long: Hapa I hope that euro itaongezeka thamani, so nitanunua euro na kungoja ipande thaman...na ikipanda tu nauza!!

Haya...

Going short: Hapa nakua naamini usd kama quote currency itapanda thaman so nitauza euro ili ninunue usd!!

Au nitanunua usd kwa kutumia euro!!
 
Huuuh.. for sure I see bright future.. this thread has made me feel new person in thinking.. thanks alot bro ONTARIO
 

Kwenye going long upo sahihi lakini short huwa ni kwa weak currency yani counter currencies ambazo Mara nyingi huwa hazipo stable zinashuka thamani Mara kwa mara

Kwa mfano wako USD ndio counter currency kwahiyo unakuwa una amini kwamba itashuka na kushuka kwake italeta faida in euro sababu ukitumia euro kununua USD Kabla dola haija shuka, kwahiyo utauza euro utanunua UsD,mpaka hapa unakuwa una USD mkononi halafu unasubiri ishuke, ikisha shuka utauza USD ununue euro na hii itakupa euro zaidi ya zile ulizokuwa nazo awali
 


Embu isome hii alafu uniambie umeelewaje!!
 
Kama hutojali fafanua tena vizuri kuanzia kuanzia going long then going short kwa mfano kama hapo juu mkuu

Going long ni kununua pair, yani unaamini kuwa currency itapanda thamani kwahiyo unauza weak currency (counter currency) unanunua strong currency (base currency) ili ikipanda uuze

Mfano USD/JYN = 156.78 hii maana yake 1USD ni sawa na 156.78 JYN

Sasa kulingana na analysis zako umeona kuwa USD itapanda thamani dhidi ya JYN (Japanese Yen) kwahiyo unauza JYN. Let's assume una Yen 10,000 kwahiyo ukiuza hizi Yen ununue dola utapata USD 63.78

Dola ikishapanda thamani dhidi ya Yen mfano imeenda kuwa 1USD = 156.88 Ina maana USD 63.78 (63.78x156.88) itakuwa sawa na yen 10,005 ambayo ni faida ya Yen 5 kutoka kwenye Yen 10,000 ulizokuwa nazo awali

Huu ndio uelewa wangu
 
hata ukifuga nguruwe au kuku unaweza kuamka asubuhi na kukuta wote wamekufa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…