Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Duuuh hatar utajir nje nje
 
Thank you sir.. mungu akubaliki akutie nguvu ufanikishe lengo lako.. utusaidie watanzania wenzio.. kwa kwerii tupo pamoja katika hili. Thank you again.
 
Hii ndiyo spirit inayotakiwa kwenye nchi yetu hakika. Ubarikiwe mkuu. Sio kila siku kuambiana sisi ni maskini; sisi bado hatuwezi, nk. Hakuna kinachoshindikana. Tunahitaji tu watu wa ku-motivate na kuchochea moto kama wewe ONTARIO . Safi sana.
 
Kiongozi Mimi niko Mwanza nikotayar kuja Dar pale utapoanza naomba sana usiache jina langu nimefatilia huu uzi toka usku wakuamkia Leo kuanzia saa tisa nimeenda page by page mpaka kuna kucha nmeishia 75/131,Naomba sana usiniache niwe miongoni mwa wawakilishi wa kanda ya ziwa lakin pia nmeisha wambia baadhi ya rafiki zangu asbh hii ilinao wachangamkie fulsa hii ,Ubalikiwe sana kwa kujitoa kwako kwa ajili ya wengi.
 
ONTARIO Napenda kujua lini utaanza training ya hii kitu ili iwe rahisi kwangu kupanga ratiba zangu kwani niko nje ya Dar.
 
Better ujiunge group la WhatsApp la humu utapata ABC ya hii kitu.
 
Nashukuru kwa maelekezo mazuri sana, mimi nahitaji kuwa mmoja kati ya Watu 300 wa mwanzo wa kupata mafunzo, niko tayari kupokea mafunzo na nitakuwa nafuatilia Updates kila siku ili kuona maendeleoo ya jambo hili muhimu unalolianzisha ili litusaidie wote. Shukrani and Godbless You!
 
Kwa hyo hata ngwajima nae atakuwa kwenye hii trade ?
 

Mkuu naomba unisaidie hapa, nimesoma nikaelewa juu ya PIP(Percentage in Point). Nikaelewa na Lot size kuwa ni multiplication factor kwa kila PIP moja na kwamba hii hutokana na jinsi ulivyochagua. Pia nikaelewa Leverage kiwa ni Pesa ya mkopo ambayo unakopeshwa ili ufanyie biashara (kwa case yetu biashara ni forex).

Sasa nisichoelewa ni kwamba
1. Je Brokers wanakopesha( refer piping & Lot size ). Kama wanakopesha, ikitokea nikaloose na akaunt ikawa burnt, hiyo loss ambayo imetokana na pesa za kukopeshwa nikaingiza katika stake yangu, je broker ankuwa compensated vipi.? Na kama Brokers hawakopeshi, je hiyo multiplication factor ( LOT) pesa yake inatokea wapi.?


2. na katika real bussines, LOT size gani inayokuwa recomended na ambayo ipo profitable/advantageous kwa trader.?


Kama nimeingia chaka popote hapo juu naomba mwongozo.

CC: ontario
 
Sasa kama USD ndo unategemea ishuke kwa nini uzinunue wakati zikishashuka zitakuta EURO chache tofauti na mwanzo? Maana zikishuka zimepungua thamani, so USD nyingi zitakupa EURO chache tofauti tofauti na ulizouza mwanzoni.

So binafsi nafkiri going short itakuwa ni kuuza weak currency(unayo tegemea ishuke) ukisubiri ishuke against EURO uinunue tena maana utapata USD nyingi kwa sababu thamani yake itakuwa imeshuka dhidi ya EURO
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…