A2G
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 283
- 829
1. Trading platforms hazimilikiwi na Brokerage company, mfano Meta Trader 4 au 5 inamilikiwa na metaquote software Inc. kampuni ya computer software na si trading. So brokers wote wanatumia platform hiyo kwa clients wao kutrade.
2. Kila nchi ina regulatory board yake, hapa Bongo yetu inaitwa Capital Market and Securities Authority - nahisi ipo chini ya Wizara ya Fedha. SA wana yao inaitwa Financial services board. Wako very strict hawa, nakumbuka mwaka jana waliifungia kampuni 1 inaitwa Smart FX Pro kwa kosa la kutrade kinyume na clients wake kwa dakika 12 tu- yani kuwa market maker kinyume na sheria.
Lkn makampuni yaliyo makini pia hua wana vibali vya nchi kubwa kama UK na USA. Hivi ndio vitu nimeconsider kwa broker ninaemtumia.
Nadhani wenye akili na macho wajionee how smart and open you are. Kwa wale wenye utata mna la kuongeza?
Kudos! This is brilliant. Acha niendelee kupiga mondo za spreads na trading style hapa tutafika tu[emoji39][emoji39]