Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
1. Trading platforms hazimilikiwi na Brokerage company, mfano Meta Trader 4 au 5 inamilikiwa na metaquote software Inc. kampuni ya computer software na si trading. So brokers wote wanatumia platform hiyo kwa clients wao kutrade.

2. Kila nchi ina regulatory board yake, hapa Bongo yetu inaitwa Capital Market and Securities Authority - nahisi ipo chini ya Wizara ya Fedha. SA wana yao inaitwa Financial services board. Wako very strict hawa, nakumbuka mwaka jana waliifungia kampuni 1 inaitwa Smart FX Pro kwa kosa la kutrade kinyume na clients wake kwa dakika 12 tu- yani kuwa market maker kinyume na sheria.

Lkn makampuni yaliyo makini pia hua wana vibali vya nchi kubwa kama UK na USA. Hivi ndio vitu nimeconsider kwa broker ninaemtumia.
2f741f6821e4de6a8c70e77e901ae39e.jpg

Nadhani wenye akili na macho wajionee how smart and open you are. Kwa wale wenye utata mna la kuongeza?

Kudos! This is brilliant. Acha niendelee kupiga mondo za spreads na trading style hapa tutafika tu[emoji39][emoji39]
 
Yeah sure huku kwa sie ma risk taker wala hata hatuwezi umia kama ambao wanaogopa gambling.

General Rule.... " Do not invest what you can not afford to Lose"

Sure, And this rule applies to this bussines too.
 
Achana na story za figisufigisu..huo ni uongo wa mchana kweupe..
Forex yenyewe siyo kwamba unaenda kujichotea tu mahela, ni kama kamari tu tena wanakwambia "losses can exceed your deposits" kabla hata hujajiunga!
Mabenki hayana huo muda wa kukuzuia wewe eti usiijue forex
Hahaha, vipi kuhusu Figisu za kuleta mizengwe wakati wa kutoa hela...
Unadhani kwanini wawe wasumbufu?
 
For real, hii kitu iko poa. Naijuaga kwenye theory tu lakini practically nipo mtupu.
 
Tatizo watu hapa wanataka ku complicate things mara coding mara nini badala ya kuangalia legality ya business na kampuni(Broker)

Wataanza kufatilia hata hao metaquote wanaiba senti ngapi kwa brokers na wana wacharge vipi commision hao ecn brokers, Wakati bid na ask price unawekewa na faida yako unakua umecarry kichwani pamoja na comission percentage anayokata broker kwenye service, sijui mtu anapanic nini tena.

I am using paypal na nime disclose Debit Card details zangu kwao sababu ya legality ya biashara yao na siumizi kichwa kuibiwa. Same na Amazon pamoja na Aliexpress ambao nimewapa card details zangu moja kwa moja bila kutumia third party na sijawahi kuibiwa, lakini utakuta mtu mwingine anahofu huku utadhani nini.

Nawasilisha

Mkuu si kila anaye uliza ni muoga wa kuibiwa wengine tunauliza for understanding mkuu. Wewe upeo wako wa kufikiri umeishia hapo kwenye legality sababu hujui chochote kuhusu application development ndio maana huoni risk kwenye hilo eneo, acha sisi tunao jua risk kwenye hilo eneo tuulize
 
Nadhani wenye akili na macho wajionee how smart and open you are. Kwa wale wenye utata mna la kuongeza?

Kudos! This is brilliant. Acha niendelee kupiga mondo za spreads na trading style hapa tutafika tu[emoji39][emoji39]

Fibonacci, Candle sticks, Live trading, Order Trading. Tutafika tuu mkuu, Mdogo mdogo na kwa msaada wa wadau. Haya mambo bwana..!
 
Mkuu si kila anaye uliza ni muoga wa kuibiwa wengine tunauliza for understanding mkuu. Wewe uwepo wako wa kufikiri umeishia hapo kwenye legality sababu hujui chochote kuhusu application development ndio maana huoni risk kwenye hilo eneo, acha sisi tunao jua risk kwenye hilo eneo tuulize

Mkuu hapo umepotea mkuu, Tena ur deadly wrong..... Wewe wa computer science hunitoi kwenye software dev hata kidogo. Ninaanza from scratch sihitaji hata source code ya mtu

Nimepiga language za kutosha na sahizi nafanya accounting packages kwa kutumia SQL baada ya kukutana na weakness kubwa kwenye excel database systems. Usione ukadhani mkuu

Au nikupe access yangu ya linda.com ambayo nimelipia subscription ya miezi 6 na kila siku ninakula course for 2hours.
 
Good for u but u don't knw me either wala sihitaji kujua hizo mbwembwe zako.

I knw what I am asking na sihitaji kuprove kwako kuwa Mimi ni nani. Nadhani umesoma vizuri jibu la Ontario na umeona kuwa kuna broker alifungiwa SA so labda ungejiuliza kwanini alifungiwa na pia ungejua kuwa level of access ya broker to the application Ina impact kwenye risk ninayo ongelea.

Unaweza kutojua kuwa hujui mkuu, it doesn't cost you anything to be humble
 
Mkuu hapo umepotea mkuu, Tena ur deadly wrong..... Wewe wa computer science hunitoi kwenye software dev hata kidogo. Ninaanza from scratch sihitaji hata source code ya mtu

Nimepiga language za kutosha na sahizi nafanya accounting packages kwa kutumia SQL baada ya kukutana na weakness kubwa kwenye excel database systems. Usione ukadhani mkuu

Au nikupe access yangu ya linda.com ambayo nimelipia subscription ya miezi 6 na kila siku ninakula course for 2hours.

hahahaaa, easy bro. Lets focus katika hii kitu ya finance/Accounts. Sote humu tumeacha specialization zetu tumeikimbilia new challenge. Tukianza ya hivi tutaharibu thread yenyewe hii ikaonekana haina maana. Ila hapo kwenye Lynda nitakucheki.

Lets get back in FOREX bussines.
 
Good for u but u don't knw me either wala sihitaji kujua hizo mbwembwe zako.

I knw what I am asking na sihitaji kuprove kwako kuwa Mimi ni nani. Nadhani umesoma vizuri jibu la Ontario na umeona kuwa kuna broker alifungiwa SA so labda ungejiuliza kwanini alifungiwa na pia ungejua kuwa level of access ya broker to the application Ina impact kwenye risk ninayo ongelea.

Unaweza kutojua kuwa hujui mkuu, its doesn't cost you anything to be humble

Easy dudes.
 
Kama ulilifahamu hilo next time usirudie kumwambia mtu kitu ambacho kipo nje ya mada ukidhani hakifahamu.

Sahizi unafundishwa jinsi ya kufanya analysis na kuinvestigate how the system works na mfugaji wa kuku, Which means Auditing yako na Computer Science haikukusaidia. Sumbua kichwa chako kufatilia mambo kama una doubts usitafute slope kama mnavyodai nyie wa computer science ati everything is from the internet.

Najua nimekushtua na Computer Science yako japokua mie nimepiga Social Science.

Hayo mambo ya hujui mie ni na cjui nini kamuulize mke wa waziri aliyepigishwa fine na traffic na akapandishwa cheo
 
hahahaaa, easy bro. Lets focus katika hii kitu ya finance/Accounts. Sote humu tumeacha specialization zetu tumeikimbilia new challenge. Tukianza ya hivi tutaharibu thread yenyewe hii ikaonekana haina maana. Ila hapo kwenye Lynda nitakucheki.

Lets get back in FOREX bussines.

Basi sawa mkuu ngoja tusiharibu uzi
 
Kama ulilifahamu hilo next time usirudie kumwambia mtu kitu ambacho kipo nje ya mada ukidhani hakifahamu.

Sahizi unafundishwa jinsi ya kufanya analysis na kuinvestigate how the system works na mfugaji wa kuku, Which means Auditing yako na Computer Science haikukusaidia. Sumbua kichwa chako kufatilia mambo kama una doubts usitafute slope kama mnavyodai nyie wa computer science ati everything is from the internet.

Najua nimekushtua na Computer Science yako japokua mie nimepiga Social Science.

Hayo mambo ya hujui mie ni na cjui nini kamuulize mke wa waziri aliyepigishwa fine na traffic na akapandishwa cheo
Daaah!! Noma sana kuitwa mfuga kuku na ndani nimefungia jiwe la petroleum refinering[emoji23] .
 
Naona watanzania wengi wanaimaiman na hii buzness forex....
Bas kwasabab kama iman inaweza kuamisha mlima kama vitabu vya dini vinavyosema... Kwa iman hii nawaona mabilionea umu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom