sio kwamba nimemaliza mkuu..kila mtu ana staili yake ya kuelewa mambo..kama ulisoma somo la kemia au physics/biology kuna ile sehem ya practicals..hizi practicals zilikuwa part ya learning process..kifupi kwa uelewa wangu,demo account ni ya kukusaidia kupata uzoefu katika process ya trading..hivyo kila mtu ataitumia hiyo demo account kwa njia atakayoelewa na kuona ni sahihi...
unaweza kuonyesha verified reports za positions you opened/fungua.. without this it will be another aspiring trader in euphoria; many new traders live in a bubble and they go around talking lies.
Huyu Sandile Sizwe ni muigizaji - he is a fraud; have you ever seen FORBES interviewing him or list him as new trader/investor millionaire? ask yourself why -
Umefungua ID mpya? HongeraEven i, nimekua motivated adi nmefungua account humu jaman
Aangalieasije akapata LOSS, akapata pressure mpk maziwa yakakata, yakagoma kutoka na twin girls wetu wakakosa msosiKama nakuona unavyoshusha pips huku unanyonyesha..
kwa hiyo wewe kipimo chako cha utajiri ni mpaka uhojiwe na forbes? ......forbes ni fraud tu utashangaa wanamsifia sana MO kupita Bahresa jiulize whyunaweza kuonyesha verified reports za positions you opened/fungua.. without this it will be another aspiring trader in euphoria; many new traders live in a bubble and they go around talking lies.
Huyu Sandile Sizwe ni muigizaji - he is a fraud; have you ever seen FORBES interviewing him or list him as new trader/investor millionaire? ask yourself why -
naku shauri soma kwanza kitabu tena kila alicho recommend ONTARIO maana maswali unayo uliza ni mepesi na yame jibiwa kwenye page za mwanzo kabisa mkuu..cross currencies unamaanisha nini? samahani kwa maswali .
..la fiesta..
OkayWaaaoh am so happy jamani kuona vijana wa Kitanzania now mnaamka aisee saafi saana saaana. Ontario hebu na mimi niweke humo ndani ya hao majamaa japo nitakuwa senior kwenu sio mbaya nitawasaidia vitu vichache vichache kidogoo hasaa upande wa arbitration ili mpunguze ka risk kidogoo. hii makitu kwa kweeeli imenisaidia saaana kupata mtaji wa kilimo changu cha vitunguu saum, kausafirii, vinyumba nk. Mimi niliianza mwaka 2012 maana ilikuwa ni sehem ya kozi yangu niliyoisoma nilipokuwa chuo wenzetu nje hawapati shida hata kidogoo sema sisi huku bongo loooh taabu tupu. pia kwa upande wa bank tumien standard charted wako vizur yaani siku moja tu mpunga waako unaupata.
Waaaoh am so happy jamani kuona vijana wa Kitanzania now mnaamka aisee saafi saana saaana. Ontario hebu na mimi niweke humo ndani ya hao majamaa japo nitakuwa senior kwenu sio mbaya nitawasaidia vitu vichache vichache kidogoo hasaa upande wa arbitration ili mpunguze ka risk kidogoo. hii makitu kwa kweeeli imenisaidia saaana kupata mtaji wa kilimo changu cha vitunguu saum, kausafirii, vinyumba nk. Mimi niliianza mwaka 2012 maana ilikuwa ni sehem ya kozi yangu niliyoisoma nilipokuwa chuo wenzetu nje hawapati shida hata kidogoo sema sisi huku bongo loooh taabu tupu. pia kwa upande wa bank tumien standard charted wako vizur yaani siku moja tu mpunga waako unaupata.
Nikiona shuhuda kama hizi napata nguvu ya kuendelea kujifunza hii kitu.. Kudos mkuuWaaaoh am so happy jamani kuona vijana wa Kitanzania now mnaamka aisee saafi saana saaana. Ontario hebu na mimi niweke humo ndani ya hao majamaa japo nitakuwa senior kwenu sio mbaya nitawasaidia vitu vichache vichache kidogoo hasaa upande wa arbitration ili mpunguze ka risk kidogoo. hii makitu kwa kweeeli imenisaidia saaana kupata mtaji wa kilimo changu cha vitunguu saum, kausafirii, vinyumba nk. Mimi niliianza mwaka 2012 maana ilikuwa ni sehem ya kozi yangu niliyoisoma nilipokuwa chuo wenzetu nje hawapati shida hata kidogoo sema sisi huku bongo loooh taabu tupu. pia kwa upande wa bank tumien standard charted wako vizur yaani siku moja tu mpunga waako unaupata.
HYIPs zote ni scam, that's no doubt. Huwezi invest pesa afu umekaa nyumbani mwisho wa mwezi unapewa asilimia 30. Pesa ya investors wapya ndio inawalipa wale wa zamani, siku wakikosekana wapya wengine ndio mwisho wa mchezo. Kuna 1 imeingia kwa kasi hapa Bongo.Umenikumbusha mbali mkuu. Mimi nilianza hizi harakati mwaka 2009 nikakutana mpaka na mambo ya HYIPs (High Yield Programs) yalinivuruga. Nikaamua kuachana nayo. Kuna wakati nilipata hela na scammers nao wakawa wana-intervene nikaamua kuacha.