Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Complex I thank you for the attachment. Naomba kuunganishwa kwenye group wakati naendelea kupitia kitabu kwa umakini.
 
Complex I thank you for the attachment. Naomba kuunganishwa kwenye group wakati naendelea kupitia kitabu kwa umakini.

Official group bado halijaundwa. Kwa sasa kila mmoja yupo chimbo kivyake, tukisubiria maelekezo zaidi toka kwa mdau ontario.
 
Habari wana JF?

Kuingia kwenye hili gemu si lazima uwe na mamilioni ya shilingi au dola! Kama ilivyo katika maisha ya kawaida, mfano unataka kununua simu na bahati mbaya hauna pesa ya kutosha na unatamani sana kuimiliki simu husika, JE KATIKA HALI KAMA HII UNAFANYAJE? Mara nyingi unaweza ngoja then ukajikusanya na kuinunua simu husika, but what if huwezi ngoja? Definitely utatafuta other means to acquire funds, either kukopa, kuomba and the alike!!

Likewise, in forex, kama imetokea chance na ukaona kabisa hapa by any chance lazima ni make profit, na bahati mbaya unapesa lakini kiasi ulicho nacho hakiwezi kukuletea faida kubwa kama unavyotamani, unachoweza kufanya hapa ni kukopa, kwa lugha ya malkia tunasema “leverage” kutoka kwa broker wako!

Leverage inatumika pale trader anapokua hana enough money, then broker anamwongezea cash kulingana na kiasi alichonacho trader! Leverage inaenda kwa ratio! Mfano kama una dola 100 kwenye account yako, ukitumia leverage ya 50:1 maana yake broker anaweza kukupatia euro 5000/=!

At this point unakua umejiongezea mtaji, kama ungekua na dola 100 zako usingeweza kufanya biashara ya euro 5000!

Mfano, if YOU LONG 100EUR/USD!

Thamani ya 100EUR/USD ikawa 1.0561, then ikapanda mpaka 1.0568! hapa una ina increment ya 7 pips(0.0007)!

UKIWA NA EURO 100 zako!

FOR 100EUR/USD the 7 pips move will equate to:

100EUR*0.0007 = 0.07 USD!

What if you have a leverage ratio of 50:1?

With your initial position, this leverage will give you EXTRA CAPITAL of 5000 Euros from broker!

Now, for 5000EUR*0.0007 = 3.5USD!

TOFAUTI NA MWANZO TULIWEZA KUPATA 0.07USD, ILA SASA KWA KUTUMIA LEVERAGE TUNAWEZA KUPATA FAIDA ZAIDI YAANI 3.5USD!! hii ndio faida ya leverage!

NB:

  1. Leverage ratio inategemea initial capital yako!
  2. Inategemea aina ya broker unayefanya nae kazi
  3. Inaweza kuwa 100:1, 50:1 and so forth!
  4. Ukubwa wa leverage ndio ukubwa capital na ndio ukubwa wa faida na pia ndio ukubwa wa hasara kama soko likienda kombo!
  5. Kabla huja-opt leverage, make sure una uhakika na unachofanya!

Mwenzako katika kujifunza,

L.T(Eng.)
 
jombaa mtaji 100 afu mkopo 5000 duh mambo yakienda kombo c ndo unaunguza account kabisa unabak unadaiwa? swal langu kwa capita ya 100 natakiwa kutumia leverage ip il ya kwamba nklose ncunguze acc kabisa na nkpata iwe profit ya kawaida
 
So far kwa sehemu nilizopitia, wanadai unaweza kuchukua leverage ratio yoyote, ila ujue tu UNAWEZA KUPATA HASARA KUBWA SANA AU FAIDA KUBWA SANA! Na ndio maana wanasema kabla huchukua leverage option na kuinvest pesa yote kwanza uwe na uhakika kweli utapata faida. Sio lazima ui invest EUR5000 zote unaweza gawa,hapo ni wewe mwenyewe na jinsi unavolisoma soko!!
 
Naomba ufafanue kidogo mkuu, hii ni tofauti na forex au shares au stocks??
 
Complex
Mi naona bora kule kwetu hakuna mambo mengi ukiwa na mtaji wa dollar 500 mzungu atakufungia acc baada ya mwezi
 
Yah, uzuri ni kuwa baadhi ya masomo tutayaskip. Somo kama la kuhandle pressure ya kuchoma account hili tayari tuna experience ya kutosha toka upande ule.

Heeeehhehe.
Nyie wachoyo eeh! Sio tabia nzuri kula wenyewe wakuu

Sina mengi...ila Mungu asikuache. Nadhani penye mafanikio hapakosi fitina.....asante sana kwa upendo wako ontario
 
Nyie wachoyo eeh! Sio tabia nzuri kula wenyewe wakuu

Nyie wachoyo eeh! Sio tabia nzuri kula wenyewe wakuu

Hahahahaa, Mkuu karibu na huku tuendeleze harakati. Bado tunapiga jeramba, Mechi bado haijaanza, so hujachelewa bado.
 
Complex
Mi naona bora kule kwetu hakuna mambo mengi ukiwa na mtaji wa dollar 500 mzungu atakufungia acc baada ya mwezi

hahahaaaa, kaka huku napo naona kunavutia kiasi. Mkuu ontario ananihamasisha, Na kila nikicheki naona hii ni real deal. By the way nitakuwepo kotekote Kule na huku. Namuona Biohazard kaprint kabisa na kitabu, Hataki mchezo kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…