Habari wana JF?
Kuingia kwenye hili gemu si lazima uwe na mamilioni ya shilingi au dola! Kama ilivyo katika maisha ya kawaida, mfano unataka kununua simu na bahati mbaya hauna pesa ya kutosha na unatamani sana kuimiliki simu husika, JE KATIKA HALI KAMA HII UNAFANYAJE? Mara nyingi unaweza ngoja then ukajikusanya na kuinunua simu husika, but what if huwezi ngoja? Definitely utatafuta other means to acquire funds, either kukopa, kuomba and the alike!!
Likewise, in forex, kama imetokea chance na ukaona kabisa hapa by any chance lazima ni make profit, na bahati mbaya unapesa lakini kiasi ulicho nacho hakiwezi kukuletea faida kubwa kama unavyotamani, unachoweza kufanya hapa ni kukopa, kwa lugha ya malkia tunasema “leverage” kutoka kwa broker wako!
Leverage inatumika pale trader anapokua hana enough money, then broker anamwongezea cash kulingana na kiasi alichonacho trader! Leverage inaenda kwa ratio!
Mfano kama una dola 100 kwenye account yako, ukitumia leverage ya 50:1 maana yake broker anaweza kukupatia dola 5000/=!
At this point unakua umejiongezea mtaji, kama ungekua na dola 100 zako usingeweza kufanya biashara ya dola 5000!
Mfano, if YOU LONG 100EUR/USD!
Thamani ya 100EUR/USD ikawa 1.0561, then ikapanda mpaka 1.0568! hapa una ina increment ya 7 pips(0.0007)!
UKIWA NA EURO 100 zako!
FOR 100EUR/USD the 7 pips move will equate to:
100EUR*0.0007 = 0.07 USD!
What if you have a leverage ratio of 50:1?
With your initial position, this leverage will give you EXTRA CAPITAL of 5000 Euros from broker!
Now, for 5000EUR*0.0007 = 3.5USD!
TOFAUTI NA MWANZO TULIWEZA KUPATA 0.07USD, ILA SASA KWA KUTUMIA LEVERAGE TUNAWEZA KUPATA FAIDA ZAIDI YAANI 3.5USD!! hii ndio faida ya leverage!
NB:
- Leverage ratio inategemea initial capital yako!
- Inategemea aina ya broker unayefanya nae kazi
- Inaweza kuwa 100:1, 50:1 and so forth!
- Ukubwa wa leverage ndio ukubwa capital na ndio ukubwa wa faida na pia ndio ukubwa wa hasara kama soko likienda kombo!
- Kabla huja-opt leverage, make sure una uhakika na unachofanya!
Mwenzako katika kujifunza,
L.T(Eng.)